Hebu tufundane leo......

Hebu tufundane leo......

Kaizer we si umeona gfsonwin alivyomaliza? Asa mchaga mie ninajua kufeel joto, sijui utelezi unajitengeneza asa hayo mengine aisee yanakuja automatiki bana, sijui sarakasi, samasoti, zungusha kiuno, panda juu ya chago ya kitanda, kochi meza ....yote hayo yanategemeana na mirindimo ya ngoma sa kama mpigaji apiga mdundo mmoja tu, tena ulopooza, mie hayo makung na fu ntayapataje ilhali kwangu yaja na ridhiko langu?

Ukinkuna nkakunika lazima ntajikuna tu aisee!
mwanajamii1 useme weye mchaga siku hizi watoto wa kichaga ni noma zaid manake wanyajua maujanja yote plus elimu ya darasani na hela za kujimake wewe usiwachezee lol. yani nyie ndo usiseme manake siku hizi mume akicheat ukuchunguza utakuta ni mdada wa kichaga ndo kaingia hapo. wewe ustuhadae.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer we si umeona gfsonwin alivyomaliza? Asa mchaga mie ninajua kufeel joto, sijui utelezi unajitengeneza asa hayo mengine aisee yanakuja automatiki bana, sijui sarakasi, samasoti, zungusha kiuno, panda juu ya chago ya kitanda, kochi meza ....yote hayo yanategemeana na mirindimo ya ngoma sa kama mpigaji apiga mdundo mmoja tu, tena ulopooza, mie hayo makung na fu ntayapataje ilhali kwangu yaja na ridhiko langu?

Ukinkuna nkakunika lazima ntajikuna tu aisee!
MwanajamiiOne asikwambie mtu ninyi mabinti wa kichaga ndo balaa siku hizi, manake maujanja ya kitandan mmejifunza na mmeyaweza kuliko hata hao wamakonde, plus elimu mliyonayo na hela za kujimake mbona ni balaa.
 
Last edited by a moderator:
MwanajamiiOne asikwambie mtu ninyi mabinti wa kichaga ndo balaa siku hizi, manake maujanja ya kitandan mmejifunza na mmeyaweza kuliko hata hao wamakonde, plus elimu mliyonayo na hela za kujimake mbona ni balaa.

Er? Afu gfsonwin mi nlifikiri nawewe ni mchaga. Anyway, kesi yetu ntaihamishia mahakama kuu walah
 
Last edited by a moderator:
sasa nimeelewa notisi, plakitiko wapi?

Hivi kiuno kinazungushwa klockwaizi au antiklokowaizi.
Tinta(back and forth) haihusu?

Naendelea kuchukua notisi, bara tunashid jamani.
 
What I know men love what they choose to love. Hakuna kazi ngumu duniani kama ya kumfanya mwanaume akupende ila akikupenda kila kilicho kwenye mkondo wake ukimfanyia, u get credit. Swala la kucheat ni tabia na mtazamo. You might be excellent woman na bado akacheat.
Muhimu kwa wanawake ni kusema ndiyo kwa true love. It is hard to know, it is hard to choose but if u get it right, you are a winner. Also if you love him too, you are going to give the best of you and that comprises everything in your relationship. In your weaknesses (no perfect human being), he'll be patient and mask them with his strength. Love handle everthing with care. For the cheaters, it is ur time to be patient and show him that it is possible to have only one lover however the case, u'll always stand number one no troubles with nyumba ndogo who tries their level best on bed and forget that they are not his choices.
kabisa kabisa, nakubaliana na wewe.
 
Er? Afu gfsonwin mi nlifikiri nawewe ni mchaga. Anyway, kesi yetu ntaihamishia mahakama kuu walah
Asprin hivi kumbe na humu jf kuna mahakama...lol! sasa mwendesha mashtaka ni nani na hakimu ni nani? napendekeza koti ntakayopelekwa basi mwendesha mashtaka awe Mwali na hakimu awe kauga na mshtaki uwe wewe na pp wangu awe Kongosho
 
Last edited by a moderator:
sasa nimeelewa notisi, plakitiko wapi?

Hivi kiuno kinazungushwa klockwaizi au antiklokowaizi.
Tinta(back and forth) haihusu?

Naendelea kuchukua notisi, bara tunashid jamani.
Kongosho kiuno kinazungushwa kwa stail nyingi sana kuna clockwise na muda mwingine ant clockwise. pia kunaushtua fulan hivi wakati wa hilo zoez ambapo unateemesha stail ya vibration yani inanogaga hiyo uspme. Pia mabo ya kukuna nazi haya bwana mm siyakubali sana inapendeza mmoja akizungusha kwenda kulia mwingine apeleke kushoto. huku akipump inside kidogokidogo mbona utaijutia bibie?
 
Last edited by a moderator:
Asprin hivi kumbe na humu jf kuna mahakama...lol! sasa mwendesha mashtaka ni nani na hakimu ni nani? napendekeza koti ntakayopelekwa basi mwendesha mashtaka awe Mwali na hakimu awe kauga na mshtaki uwe wewe na pp wangu awe Kongosho
Hahahaha hii itakuwa kesi namba 12 ya mwaka 2012.... Vigezo na masharti kuzingatiwa. Kesi haina wasikilizaji, wazee wa baraza wala mashahidi....

Kongosho kiuno kinazungushwa kwa stail nyingi sana kuna clockwise na muda mwingine ant clockwise. pia kunaushtua fulan hivi wakati wa hilo zoez ambapo unateemesha stail ya vibration yani inanogaga hiyo uspme. Pia mabo ya kukuna nazi haya bwana mm siyakubali sana inapendeza mmoja akizungusha kwenda kulia mwingine apeleke kushoto. huku akipump inside kidogokidogo mbona utaijutia bibie?
Khaa! we gfsonwin weweee..........:hand::hand::hand::hand::hand:
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin, hapa kwenye vibration sijachukua notisi, inakuwaje?

Mwali, njoo tusome huku naona umekimbia kimoja.

Kongosho kiuno kinazungushwa kwa stail nyingi sana kuna clockwise na muda mwingine ant clockwise. pia kunaushtua fulan hivi wakati wa hilo zoez ambapo unateemesha stail ya vibration yani inanogaga hiyo uspme. Pia mabo ya kukuna nazi haya bwana mm siyakubali sana inapendeza mmoja akizungusha kwenda kulia mwingine apeleke kushoto. huku akipump inside kidogokidogo mbona utaijutia bibie?
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwanamke fanya hiviii mwanaume hata kucheat.....
1. Mpikie chakula akipendacho vizuri. hakikisha kila siku umamuuliza anapenda kula nini
2. Usafi ni muhimu wa kwako mwenyewe mwili na nguo..uhakikishe nae nguo zake ni safi kila siku. Sehemu ya kulala iwe safi na ubadilishe shuka kila siku na asikutane na harufu mbaya chumbani. tumia udi au marashi mazuri.
3. Usiwe mtu wa kulalamika sana kuhusu maisha, kuomba ununuliwe vitu mara kwa mara vinavyozidi uwezo wake.
4. Uwe unapenda kusali (uwe mcha mungu)
5. Kitandani uwe mbunifu..... sio kifo cha mende kila siku... penda kumfanyia surprise mara kwa mara ya kusex.kusiwe na muda maalumu wa kufanya sex... iwe asubuhi mchana au jioni....tena mvizie ule muda anaotaka kutoka mkamatie hapo hapo uone kama huko nje atafuata vingine.Usipende kuvaa manguo mengi mnapokuwa ndani ya nyumba , jiachie kwa kuvaa nguo nyepesi zinazo onyesha maungo yako...mfanye auone uzuri wako.

Downloading..............
 
kuna mtu asema utii ndo silaha pekee ya kuwin penzi la kidume, kkumbe na kitanda pia

bado nakopi notisi
 
Nimeipenda hiyo darasa japo pia na mawasiliano ya karibu baina ya wenzi ni muhimu sana kwani wapo wapenzi ambao hawana muda wa kuongea kwa ukaribu na undani mambo ya faragha..mfano mkao gan ulikuwa crazy n.k
 
freema [b said:
aso hili ana lile, fanya mahusiano yako ya mapenzi yawe ya pekee kwa kumsoma mwenzio, kuwa tayari kuadjust at most 50%, be yourself usilete maigizo mapenzini then timiza wajibu wako bila kusubiri mwenzio nae atimize wake.[/b]

simply..................the best!
 
Asprin, ile nayokufanyia huwa inaitwa 'Kamua Baba' sio vibrashen, hii ndo naitaka ili leo nikujaribishie.
Hahahaha.......... ngoja nikatafune miwa na matikiti ya kutosha. Haya mavaibresheni anayozungumzia gfsonwin yanaweza yakasababisha short circuit kunako maunoni.
 
Last edited by a moderator:
Success love between partners is achieved by those who try and keep trying with a positive mental attitude towards satisfying each other whether on bed or somewhere else.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom