Preta,
Erotica Smile hope mko poa. thanks erotica kwa kunitag manake huu uzi nyeti niliukosa. anyway mimi mfundaji wenu ngoja niwaambie haya machache tu. Wapendwa wangu what men want out of women is just joto na utelezi basi. mambo mengine yote, uzuri, fedha, kujiremba nk ni mambo ya kusindikiza tu ila ukweli ni kwamba la muhimu ni hayo mawili tu. Mambo haya kama wewe mwanamke huna huwez kumsisimua mwanaume hata kidogo kwani kama huna joto, mwili ni baridi, huna utelezi wewe kwke ni mateso tu na wala huna raha yyte.
kimsingi kabisa mautundu ya kitandani ndiyo yanayoleta haya na utundu huu hutokana zaid na hisia ulizo nazo juu ya huyu patna. Kama huna hisia ambazo zitakufanya ukubali kutoka moyoni kumpa raha huyo patna. yaani wewe hutakuwa mtam na hutamvutia huyo mtu kuendelea na wewe.
hisia unazokuwa nazo juu ya mtu, huamsha hamu ya kupenda kumpa raha muhusika na kukubali kutumika kutoa raha. ukisha kubali mwili wako kutumika kutoa raha definetly utatengeneza joto kw msukumo wa damu utaongezeka zaid na ubongo wako utapeleka taarifa kwenye respective glands ambazo zitatoa secretions ambazo huleta utelezi.
jamani kamwe huwez kuwa mtundu kama hutamani kutoa raha kwa huyo mwenza wako. ukikubali kutoa raha basi na wewe lazima utapata raha tu na utaonekana unajua kumbe ni ukubali wako tu. wapo wadada wengi wanaobakwa kwasababu ya fedha zao au sura na hata kufiki kuolewa halaf waume zao wanakuwa wanatafuta haya mtaani. Jamani kubalini kutumika kutoa raha, tena jachieni hasa. mwwenye kuhitaj mbinu zaid ani pm manake hpa nawafaidisha hadi hao akina kaka kama
MziziMkavu,
Asprin etc. see you