MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Naona hapa wadada mnatafuta njia nzuri ya kumpliz mwanaume ili awe wako peke yako {japo ni ngumu} basi fanyeni yafutayo..
Hakikisha unapokuwa na mpenzi wako ujue uzungumze nini na wakati gani.. Sio umwambie una shida na hela ukiwa juu ya kifua wakati unajua anadaiwa ofisini kwake.
Mbumbumbu mwenye akili!
Mbumbumbu mwenye akili, aksante sana, hayo nloyafuta si kwamba hayana maana la hasha, NIMEYAKUBALI kwa 200% nimelibakisha hili kwa kuwa limegusa hisia zangu.
Unajua mara nyingi ninmekwishasikia wanawake tukidanganyana......eti sehemu nzuri ya kufikiza shida zako ni hapo!! Tumekuwa tukiambiwa wanaochuna mabuzi kuwa hapo ndo pa kumfanya akununulie japo kivitz ilhali mwenyewe anashindia gari ya ofc hata bajaj hana! .................
Leo umeniweka sawa akili yangu maana nlishaanzajihisi nina mtindio wa akili! Ubarikiwe