Hebu tufundane leo......

mambo ya kulea wanaume haya hayafai,kwani raha ya mapenzi ni kuridhishiana.mbona wapo wanaume ambao nao ni zero kitandani?na hao wawekwe kundi gani?kudonoa hawawezi,kuwika hawawiki,wapo tu kama kuku wa kuchorwa

Kweli kisukari?
 
Preta, Erotica Smile hope mko poa. thanks erotica kwa kunitag manake huu uzi nyeti niliukosa. anyway mimi mfundaji wenu ngoja niwaambie haya machache tu. Wapendwa wangu what men want out of women is just joto na utelezi basi. mambo mengine yote, uzuri, fedha, kujiremba nk ni mambo ya kusindikiza tu ila ukweli ni kwamba la muhimu ni hayo mawili tu. Mambo haya kama wewe mwanamke huna huwez kumsisimua mwanaume hata kidogo kwani kama huna joto, mwili ni baridi, huna utelezi wewe kwke ni mateso tu na wala huna raha yyte.

kimsingi kabisa mautundu ya kitandani ndiyo yanayoleta haya na utundu huu hutokana zaid na hisia ulizo nazo juu ya huyu patna. Kama huna hisia ambazo zitakufanya ukubali kutoka moyoni kumpa raha huyo patna. yaani wewe hutakuwa mtam na hutamvutia huyo mtu kuendelea na wewe.

hisia unazokuwa nazo juu ya mtu, huamsha hamu ya kupenda kumpa raha muhusika na kukubali kutumika kutoa raha. ukisha kubali mwili wako kutumika kutoa raha definetly utatengeneza joto kw msukumo wa damu utaongezeka zaid na ubongo wako utapeleka taarifa kwenye respective glands ambazo zitatoa secretions ambazo huleta utelezi.

jamani kamwe huwez kuwa mtundu kama hutamani kutoa raha kwa huyo mwenza wako. ukikubali kutoa raha basi na wewe lazima utapata raha tu na utaonekana unajua kumbe ni ukubali wako tu. wapo wadada wengi wanaobakwa kwasababu ya fedha zao au sura na hata kufiki kuolewa halaf waume zao wanakuwa wanatafuta haya mtaani. Jamani kubalini kutumika kutoa raha, tena jachieni hasa. mwwenye kuhitaj mbinu zaid ani pm manake hpa nawafaidisha hadi hao akina kaka kama MziziMkavu, Asprin etc. see you
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...
Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......

....mh...somo zuri sana..natumai mtoa mada..anajua jinsi ya kukitumia kitanda.. Preta
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
wacha kuuzunguka mbuyu, wewe ukumbatie tu kuwa galfriend wako ndio alivyo, kwani nani anamfahamu hapa? hapa sio facebook bana
I wish my gelifrendi wangu angekuwa hapa jf asome hii kitu, sina maana hajui nah..nah... anajua sana ila tu kuongeza ufaham preta mama asante eeh ubarikiwe xana!!
 
Inaonekana hujiamini na ukitoswa ndo imetoka.
Unatumia mapenzi kumshika mwanaume,,mbona ye haonyeshi kukushobokea wala kutaka uhusiano udumu.
 
mambo ya kulea wanaume haya hayafai,kwani raha ya mapenzi ni kuridhishiana.mbona wapo wanaume ambao nao ni zero kitandani?na hao wawekwe kundi gani?kudonoa hawawezi,kuwika hawawiki,wapo tu kama kuku wa kuchorwa

Wanapatikana wapi hao?
 
Huku ni kudanganyana.......Sijui hawa makungwi wa siku hizi wamekuwa wa kichina...LOVE IS NOT ALL ABOUT SEX...
sex ni mojawapo ya factors muhimu lakn mnataka kuifanya soooo exceptional kitu ambacho sio sahihi.....
Kwanza mwanadamu(mke/,mume)anapoendelea kukua kiumri hata haya mambo ya sex huwa yanaisha hamu....
 
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...
Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......

tumesikia ila wanaume wenyewe ndo hawa wa kizazi cha facebook...yaan mwingine unabinuka,unampa mahaba yoteeee ya kistaarabu na mengineyo....unakata viuno vyote utazani kiuno kinataka kuachia....unafanya vyote ila eeeeh bado tu anawanawake nje.....chezea wanaume wewe hawatabiriki shoga yangu....swala ni kumuachia Mungu tu na kumuomba hawa waume zetu wawe na hofu za Mungu na kuogopa magonjwa basi....na kumuepusha na magroup haya wanaojifanya kupeana round wanafundishanaga ujinga sasa bahat mbaya ndo unapata limume la kubeba na kujaribu kila kitu....utawajibika weeeeeh lakini hola.
 
He he he, hii kitu hii inahitaji twende workshop kwa ajili ya practical.. Wapi pm, anaejiamini mkali tuzame pm tukalonge tutafutane, maana jamii forums ni zaidi ya social network maana preta toka alipoanzisha huu uzi, athuman amegoma kulala ofisini akukaliki
 
Hiiivi? Wakati tunatumia nguvu nyingi kufikiria jinsi ya kumridhisha mume kitandani, tunafikiria jinsi ya kufirahia sisi wenyewe hiyo sex?

Mimi binafsi labda katika uselfish wangu lakini najishughulisha zaidi na kuenjoy sex mwenyewe; na mara nyingi kama si zote (l hope) on the process of enjoying it, my partner anaenjoy pia na possibly zaidi yangu.

Tuache kuwa watumwa, men cheat just because they can na si vingonevyo. I wish tungeshauriana jinsi ya kuenjoy sex na si kufanya kwasababu ya kumplease au kumkeep mume/bwana/buzi/hubby.

Na pia relationship hasa ndoa ni zaidi ya sex; kuna maswala mengine mengi tu ambayo kila mtu ana vipaumbele vyake!

Nice thread though; thanks Preta!
 
Preta aliyekwambia "Bed is everything to a man" amekudanganya hata kama ni mwanaume mwenyewe. Ingekuwa hivyo hata players ambao wao wanachotafutaga ni sex tu wangetulia na yule anaetoa mambo mazuri mpaka wenyewe wanakubali, but they don't. Swala la kubiringishana kitandani ni sehemu tu ya kumridhisha mtu. . .hata hao wanaume. Kama wewe unataka kumtuliza/mwenzio aridhike na wewe just be yourself. . .mpe the whole package yani SEX, PERSONALITY, MJALI, MPENDE, MHESHIMU hapo kama ni wakutulia atatulia na kama sio basi ndio kama vile tena. Ila ukiishia kutafuta mbinu mpya za kuzungusha kiuno kila siku wakati huko kwingine ni bomu hamna mwanaume utakaelast nae awe wako mpaka mtakapoamua vinginevyo.

Namjua mshkaji mmoja , X player, yeye ndo alikua anafuatwa na kung'ang'aniwa na wanawake, aliwachanganya wanaojua na wasiojua mambo mpaka alipokutana na mwingine ambae alimpenda kabla ya kuangushana kitandani. Sababu. . TOFAUTI yake na wengine wanaodhani wanaume wanachojali ni kupendeza na kuwa mzuri kitandani tu. Ukiwa hivyo unaweza shangaa unajishughulisha sana 6 * 6 ila mwenzio ana nyumba ndogo kwaajili ya kupiga story na kupeana mawazo. We unabaki kuwa mfanyakazi wa kufua, kupika, kufanya usafi na kutumika kitandani. Where is the fun in that!??!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom