Muunganiko wa kifasheni baina ya koti na suruali au hata sketi ambavyo vimetengenezwa ili vivaliwe kwa pamoja...Hivi suti nini? Kwa sababu mtu akivaa suruali ya kitambaa na shati bila lile koti anaoneka hajavaa suti ila akivaa Koti pamoja na suruali ya kitambaa na sauti ndo anaonekana kavaa,je suti nilile koti ama niaje nivipi?
Sawa nimekupataSipendi mtu avae suit aseee
Lakini nikivaa mie inanipendeza kinyamaaaaa....iwe skirt ama trouser
View attachment 1314337
Aisee mi pia nazipenda sana tatizo nikivaaga watu wanadhani nafanya kazi pale Eagle HouseNapenda Kaunda suit hizi za mawaziri.
Suti za makoti hazinipendezi kivile kama Kaunda
Kweli mkuu ukiingia kwenye ofisi wanakupa huduma kwa umakini tofauti na wengine.Aisee mi pia nazipenda sana tatizo nikivaaga watu wanadhani nafanya kazi pale Eagle House