Hebu tuambiane ukweli kuhusu suti

KING HAM

Member
Nov 25, 2019
23
11
Hivi suti nini? Kwa sababu mtu akivaa suruali ya kitambaa na shati bila lile koti anaoneka hajavaa suti ila akivaa Koti pamoja na suruali ya kitambaa na sauti ndo anaonekana kavaa,je suti nilile koti ama niaje nivipi?
 
Muunganiko wa kifasheni baina ya koti na suruali au hata sketi ambavyo vimetengenezwa ili vivaliwe kwa pamoja...

Ni kama mlango na fremu, kitasa na funguo n.k
 
Naona watu wengine wakivaa suti zinawapendeza sana ila mimi kila nikinunua suti hainipendezi,pamoja na kubadilisha kila design mwishowe imetokea kuzilundika tu ndani.Kiujumla sipendi vazi la suti...
 
Sipendi mtu avae suit aseee

Lakini nikivaa mie inanipendeza kinyamaaaaa....iwe skirt ama trouser

20200106_224355.png
 
Naona watu wengine wakivaa suti zinawapendeza sana ila mimi kila nikinunua suti hainipendezi,pamoja na kubadilisha kila design mwishowe imetokea kuzilundika tu ndani.Kiujumla sipendi vazi la suti...
Weee 😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom