Ulikuwa unangoja mkono uanguke uudake..ha ha haaaaa!leo nimepata furaha kubwa sana. kuna mkaka mmoja aliwahi kuniapproach miaka ya nyuma akitaka kunichumbia na aliniambia ukweli kuwa alishadivorce na alipata mtoto mmoja kabla ya hiyo talaka. siku moja nikampa mtihani kuwa ampigie mtalaka wake simu mbele yangu amwambie kuwa licha ya talaka yao, anaomba wazae mtoto mmoja zaidi kwani hapendi kuwa na watoto na wanawake tofauti. alisita sana kwani alisema mtalaka wake ana maneno makali sana tena saa nyingine ya kashfa na angeweza kumtukana. baada ya kumhakikishia kuwa kama atamtukana nitamkubalia ombi lake palepale, alikubali.
alipompigia, mkewe alikuwa tofauti na alivyomtarajia. alicheka kwanza kwa mzaha, baadaye akamuuliza "leo una nini wewe, kitu gani kimekupata hadi unafikiria hivyo? natamani nikuone leo nijue kilichokupata!" walipokata simu alishangaa sana kwa maongezi yale, nilimwambia kuwa Mungu akishaunganisha watu huwa hawawezi kutengana, nikamwambia aendelee kumpigia simu kama hizo na amtafute ila akimkataa, tutakubaliana kuoana. sasa leo kanipigia simu anasema kuwa kakubali kuzaa naye! wow. God is at work! i am soooooo happy wapendwa.
jamani ALICHOKIUNGANISHA MUNGU, MWANDAMU ASIKITENGANISHE please!!!!!!!!!!!!!
Ulikuwa unangoja mkono uanguke uudake..ha ha haaaaa!
Jitafutie mtu wako bana...kwanini usubiri aliyekataliwa?
Mi siamini kama furaha yako hiyo ni ya ukweli, maana ni kisebusebu na kiroho papo, yaani ile nataka sitaki!..
Kwamba umefurahi kushtuka ungeweza kutendwa???
leo nimepata furaha kubwa sana. kuna mkaka mmoja aliwahi kuniapproach miaka ya nyuma akitaka kunichumbia na aliniambia ukweli kuwa alishadivorce na alipata mtoto mmoja kabla ya hiyo talaka. siku moja nikampa mtihani kuwa ampigie mtalaka wake simu mbele yangu amwambie kuwa licha ya talaka yao, anaomba wazae mtoto mmoja zaidi kwani hapendi kuwa na watoto na wanawake tofauti. alisita sana kwani alisema mtalaka wake ana maneno makali sana tena saa nyingine ya kashfa na angeweza kumtukana. baada ya kumhakikishia kuwa kama atamtukana nitamkubalia ombi lake palepale, alikubali.
alipompigia, mkewe alikuwa tofauti na alivyomtarajia. alicheka kwanza kwa mzaha, baadaye akamuuliza "leo una nini wewe, kitu gani kimekupata hadi unafikiria hivyo? natamani nikuone leo nijue kilichokupata!" walipokata simu alishangaa sana kwa maongezi yale, nilimwambia kuwa Mungu akishaunganisha watu huwa hawawezi kutengana, nikamwambia aendelee kumpigia simu kama hizo na amtafute ila akimkataa, tutakubaliana kuoana. sasa leo kanipigia simu anasema kuwa kakubali kuzaa naye! wow. God is at work! i am soooooo happy wapendwa.
jamani ALICHOKIUNGANISHA MUNGU, MWANDAMU ASIKITENGANISHE please!!!!!!!!!!!!!
Huyu nae kaanza mambo ya bujibuji..
Bora tu waoane
KWAMBA amewwaunganisha waliojitenganishaKwamba umefurahi kushtuka ungeweza kutendwa???
Hahahaha ulikuwa unanyatia kama fisi mkono udondoke wewe ndo udake!! hahaha sasa haujadondoka duh wanawake bana
KWAMBA amewwaunganisha waliojitenganisha
lo, wanaume bwana hisia zenu zote ni hukohuko. wala sikuwa namtaka nilikuwa nataka kuwapatanisha. halafu sikuwa na mpango na ndoa wakti huo kwani nilkuwa bado niko chuoni
hapana kumbuka talaka si mpango wa Mungu na mie wakati ule nilikuwa nasoma, so nilikuwa sihitaji kuingia kwenye masuala ya ndoa na kusema kweli ile ilikuwa ni njia ya "kidiplomasia" tu ya kumkataa, lakini Mungu akajibu maombi yetu.
lo, wanaume bwana hisia zenu zote ni hukohuko. wala sikuwa namtaka nilikuwa nataka kuwapatanisha. halafu sikuwa na mpango na ndoa wakti huo kwani nilkuwa bado niko chuoni