Hebu naombeni mnipe maoni yenu juu ya hili

Hebu naombeni mnipe maoni yenu juu ya hili

Nipo eneo ambapo siwezi kuelewa jina gani hiki ninachojiskia kinaitwa. Mfano, ni kama ugundue mkeo amelala na rafiki yako ili kukutafuta pesa ya matibabu. Unashindwa kumpenda au kumchukia kwa kile alichokifanya unabakia na hasira tu na maumivu.
fanya maamuzi yaliyo sahihi ila huyo atakuaribia mahusiano mapaya ulonayo mkuu
 
Siwezi kulala nae itakuwa dharau sana kwa heshima yangu. Hapa hata kuonana nae nawazia nimpe makavu gani nisipoteze hata dakika kumi, yaani sitaki mazungumzo ya kusikiliza anajitetea nataka nimuache na waraka wangu ajue nilivyojisikia na alichofanya na sitaki kumrudishia mic [emoji441] ajitetee au tuyazungumze hapana.

Namchana na kumuelezea namna matendo yake yamenifanya kiakili na kunibadili fikra zangu halafu sitaki ajitetee wala nini namuacha hapo atajua yeye. Na akileta mizaha naweza mlamba makofi kabisa ili nitoe hasira nilizobeba muda mrefu.

Dah aiseee hawa viumbe ukiwa na moyo mwepesi ndio unashangaa umemtia bisu bila huruma ili roho yako ifute maumivu.
Ndo hivyo but cool down achana naye Mkuu.
Pole Kwa aliyo kufanyia.
 
Sina uhakika kama anajua nipo na nani ila anajua nipo na mahusiano na kuja yake imekaa kama ya kuwa hana taarifa za kutosha kuhusu mimi na anataka jaribu kuona nipo wapi kimaisha na ninaendeleaje maana ana maswali ya kipumbavu sana aisee.

Mtu anakupigia anakuuliza maisha yanasemaje, una baby gal au baby boy, maana najua utakuwa tayari unamtoto.

Huwa namantain my cool ila kifuani ninakuwa nina hasira kali sana huwa natamani kumjibu na matusi ila huwa nazikalia hizi sms sizijibu kwa kisingizio kuwa nipo busy.

Ila target yangu nataka nipate moment ya kutoa hukumu bila kumsikiliza wala kumpa nafasi ya kujitetea kisha sitatazama nyuma wala kujali alijisikiaje.
Hakuna haja ya kumjibu na ikiwezekana asijue upo na mtu gani, wengi nia yao ni kuja kuvuruga wakiamini nafasi yao huwa ipo muda wote kwa sababu ulimpenda sana.
 
Mimi sina cha kukushauri kwa sababu mtu akishapita kwenye maisha yangu hawezi kutoka tena, ama atakuwa demu wangu au rafiki tu wa kawaida, tukikutana salamu na story mbili tatu imeisha hiyo, sijawahi kuzungumzia mapenzi na mtu ambaye tulishatemana, kwanza mapenzi yenyewe mimi sina sijui yakoje.. Ninachojua mimi ninatamani tu mwanamke kutokana na muonekano wake sio mapenzi.
 
Habarini wadau.

Naombeni ushauri wenu kwenye hili bila kubagua nani atoe huo ushauri.

Najuwa wengi wetu especially wanaume tumepitia ile hali (situation) ambapo kuna mwanamke ulimpenda sana kwa moyo wako wote na yeye alilifahamu hilo.

Ila kwa kujua kuwa amependwa basi akatumia nafasi yake kucheza na hisia zako indirectly kwa maana ya kuwa hakuwa muwazi na hisia zake kwako na kujali jitihada zako za kumuonyesha mapenzi ya dhati.

Unapitia hii hali hadi unafika muda mateso ya kihisia na maumivu yanakushinda nguvu unakubali kuachia mtu unayempenda kimapenzi kupita mwanamke yoyote hapa ulimwenguni. Unamuacha na kuanza safari ya maumivu makali bila yeye na bila kujua hatima ya moyo wako eneo la mapenzi.

Unaamua kuwa sugu na kujikaza muda unakwenda na kichwa chako taratibu kinaanza kukubaliana na ukweli kuwa hautakuwa nae tena na unatakiwa kufungua kurasa mpya.

Unafanikiwa kuruhusu akili yako kuanza mahusiano na watu wapya na hatimae unakutana na binti mwingine tena mdogo kuliko yule aliyekuumiza ila huyu anakuja kivingine, anakupenda na kukujali. Unajitahidi kumpima na kuona hila ndani yake ila hola unakuta hakuna sababu ya kutokumuamini. Unaona si mbaya kukubaliana na ukweli kuwa amekuja mwingine ambaye anaweza kukupa ujasiri wa kupenda tena ingawa si kama mwanzo.

Unalianzisha na safari hii penzi linakuwa zuri na la amani na maisha yanaenda. Hatua zinapigwa na unaanza kuona maisha haya hapa katika sura ya utu uzima na unaweza sasa kujiita mtu mwenye maisha yake.

Ukiwa na utulivu wako na kila kitu kwenye utaratibu unashangaa ujumbe unaingia, ni yule kidudu mtu ambaye sasa humuoni tena special. Anakutafuta kwasababu anazozijua yeye ila moyoni hauna tena imani nae na unashangaa hata kwann akutafute baada ya muda mrefu kupita.

Mbali na maneno yake mbali mbali ya kinafiki na kujaribu kukurubuni anakuja na nia ya kutaka kutazamia kama anaweza kukurejesha mlipoishia na kutaka kutengeneza amani na wewe na kukuomba msamaha kuwa at least umsamehe ili awe na amani ya moyo kuwa aliyekukosea hadi huko aliko anaona baraka zake hazipatikani wala mambo hayamuendei vema eneo la mahusiano umeweza kumsamehe.

Guys hebu mnambie huu wakati au hii moment wewe kama yalikukuta ulifanya nini, ulisema nini, ulitamka nini, ulikuwa katika hali gani?

Haya yamenikuta aiseee hasira ni nyingi hapa, sijaongea kitu nimekaa kimya nisije nikakosea shabaha.
Pole hio hali hua inaumiza na kutia hasira,maana huo ulingo shetani kadaka fikra za wadada\wakaka wengi wasitambue thamani ya walivyonavyo mpka wakaumie nje na kurudi kuugulia ndani....achana na hio takataka mwangalie tu akijibaraguza,hakuona thamani yako
 
Kama nilivyosema awali kuwa tulimalizana mazingira ambayo mimi sikuwa nimemuacha na sikuwa tayari kumuacha ila ikabakia vile sababu sikuwa na namna ya kuishi nje ya maumivu so nikaishi nayo.

So upo sahihi kusema sijamove on, shida iliyopo ni mtu yule yule anakuja kama kukucheki kuwa nilivyokufanyia nikakuacha unaendeleaje, sasa vile namna nilivyo kimya sijamuonyesha mrejesho ndio anahangaika ndio nimekuja hapa nataka nijue ninyi mlifanyaje kudeal na mtu wa namna hii aondoke akiwa amejifunza lesson moja kali sana huko aendapo.

Kuna muda nawaza vitu vya ajabu kumkomesha ila nafikiria heshima yangu na utu plus malezi niliyokulia nashindwa kuamua kumfanyia uhuni ila aiseee.
Sikiliza moyo wako,mapenzi hayashauriwi
 
Habarini wadau.

Naombeni ushauri wenu kwenye hili bila kubagua nani atoe huo ushauri.

Najuwa wengi wetu especially wanaume tumepitia ile hali (situation) ambapo kuna mwanamke ulimpenda sana kwa moyo wako wote na yeye alilifahamu hilo.

Ila kwa kujua kuwa amependwa basi akatumia nafasi yake kucheza na hisia zako indirectly kwa maana ya kuwa hakuwa muwazi na hisia zake kwako na kujali jitihada zako za kumuonyesha mapenzi ya dhati.

Unapitia hii hali hadi unafika muda mateso ya kihisia na maumivu yanakushinda nguvu unakubali kuachia mtu unayempenda kimapenzi kupita mwanamke yoyote hapa ulimwenguni. Unamuacha na kuanza safari ya maumivu makali bila yeye na bila kujua hatima ya moyo wako eneo la mapenzi.

Unaamua kuwa sugu na kujikaza muda unakwenda na kichwa chako taratibu kinaanza kukubaliana na ukweli kuwa hautakuwa nae tena na unatakiwa kufungua kurasa mpya.

Unafanikiwa kuruhusu akili yako kuanza mahusiano na watu wapya na hatimae unakutana na binti mwingine tena mdogo kuliko yule aliyekuumiza ila huyu anakuja kivingine, anakupenda na kukujali. Unajitahidi kumpima na kuona hila ndani yake ila hola unakuta hakuna sababu ya kutokumuamini. Unaona si mbaya kukubaliana na ukweli kuwa amekuja mwingine ambaye anaweza kukupa ujasiri wa kupenda tena ingawa si kama mwanzo.

Unalianzisha na safari hii penzi linakuwa zuri na la amani na maisha yanaenda. Hatua zinapigwa na unaanza kuona maisha haya hapa katika sura ya utu uzima na unaweza sasa kujiita mtu mwenye maisha yake.

Ukiwa na utulivu wako na kila kitu kwenye utaratibu unashangaa ujumbe unaingia, ni yule kidudu mtu ambaye sasa humuoni tena special. Anakutafuta kwasababu anazozijua yeye ila moyoni hauna tena imani nae na unashangaa hata kwann akutafute baada ya muda mrefu kupita.

Mbali na maneno yake mbali mbali ya kinafiki na kujaribu kukurubuni anakuja na nia ya kutaka kutazamia kama anaweza kukurejesha mlipoishia na kutaka kutengeneza amani na wewe na kukuomba msamaha kuwa at least umsamehe ili awe na amani ya moyo kuwa aliyekukosea hadi huko aliko anaona baraka zake hazipatikani wala mambo hayamuendei vema eneo la mahusiano umeweza kumsamehe.

Guys hebu mnambie huu wakati au hii moment wewe kama yalikukuta ulifanya nini, ulisema nini, ulitamka nini, ulikuwa katika hali gani?

Haya yamenikuta aiseee hasira ni nyingi hapa, sijaongea kitu nimekaa kimya nisije nikakosea shabaha.
Daah umeandika kwa hisia sana. Yalishanikuta sana haya.

Ila wote kwa sasa ni michepuko tu. Napiga na kusepa.

Wengine wametaka niwaoe hata kama ni mke wa pili au watatu wamekubali.

Nimewambia nafasi haipo tena.

Wanawake wakiwa vijana na uzuri unang'aa huku wanahongwa mapesa na vijana walamba asali aisee hata umpende kwa namna gani anakuona wewe ni kituko tu.

Hakuna cha kufanya we endelea na mambo yako tu.
 
Kwanza hiyo ni dharau, Master achana na huyo Demu. Kama unataka kulipiza basi mtegee aingie kwenye Mfumo butua Alfu piga chini ila kuishi naye huyo hafai coz ipo siku tena atakuumiza kwa tamaa zake hizo
Demu kamdharau sana....kaona ngoja nirudi kwa yule Fala.

Tena asipoangalia huyo ana Mimba Changa akigusa tu imekula kwake.
 
Achana na hiyo mbwa mkuuu. Usimjibu kitu na usijae kwenye huo mtego.
Huyo yeye anakumudu ukijichanganya tuuuu utarud tena na thread kama hii kwamba mmeachana na anaekupenda umerudiana na unaempenda. Read the cord btn lines!!!!!
 
Back
Top Bottom