Hebu naombeni mnipe maoni yenu juu ya hili

Guys hebu mnambie huu wakati au hii moment wewe kama yalikukuta ulifanya nini, ulisema nini, ulitamka nini, ulikuwa katika hali gani?

Haya yamenikuta aiseee hasira ni nyingi hapa, sijaongea kitu nimekaa kimya nisije nikakosea shabaha.

Sasa hasira za nini mkuu...

Umeachana na mtu, ume move on...
 
Mwamba gani huyo jamani 🏃🏃🏃😂

Alafu ujue mapenzi hayashauriki yaan muhanga anatakiwa yeye ndio asikilize moyo wake.
si yule mwamba fulani imara umemfungia vioo na malango licha ya kuonesha nia yake ya dhati 😂

Uyo muhanga anakuwa kwenye kipindi kigumu sana cha maamuzi ni vita kati ya akili na moyo, moyo unataka ila akili haitaki lazima pachimbike.
 
Jamani mbona mimi sina habari? Mimi sijamfungia vioo yoyote 😂😂

Mambo ya mahusiano ni magumu. Kuna mwanaume nilimpenda bahati mbaya akajua hamna rangi niliacha ona. Ilikua kila nikijaribu kumuacha nashindwa nikawa naambiwa si umuache lkn nikipimia hivi naona siwezi nikawa naendelea nae hivyo hivyo. Baada ya mwaka na nusu wa kuchakaa kisawa sawa ndio akili ikanikaa sawa nikanyoosha mikono juu kwamba mzee haya wee nenda tu. Mahusiano kuna muda yanazingua sana unaempenda hana habari na usiempenda ndio anakuganda.
 
Yupo unaemfungia vioo umeziba masikio na macho hutaki kusikia wala la kuona 😁

Pole sana kwahiyo yeye alikupa msoto wa mwaka na nusu wewe umeamua kumpa mwingine wa miaka miwili 😂

Mapenzi bhana anaekupenda humpendi, unaempenda hakupendi yani ni tafrani tupu sema ukishajua kwenda nayo hayakupi shida.
 
😂😂😂 Ipo siku isiyo na jina.
 
Jamani mbona mimi sina habari? Mimi sijamfungia vioo yoyote [emoji23][emoji23]

Mambo ya mahusiano ni magumu. Kuna mwanaume nilimpenda bahati mbaya akajua hamna rangi niliacha ona. Ilikua kila nikijaribu kumuacha nashindwa nikawa naambiwa si umuache lkn nikipimia hivi naona siwezi nikawa naendelea nae hivyo hivyo. Baada ya mwaka na nusu wa kuchakaa kisawa sawa ndio akili ikanikaa sawa nikanyoosha mikono juu kwamba mzee haya wee nenda tu. Mahusiano kuna muda yanazingua sana unaempenda hana habari na usiempenda ndio anakuganda.
Kwahiyo unanishauri Nini niendelee kukuganda?
 
Back
Top Bottom