min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,765
- 175,860
[emoji817]Wala usihangaike nae. Huyo ashakutana na mambo magumu huko alipoenda ila laiti kama mambo yangemnyookea asingerudi. Temana nae na asikuzoee kabisa.

kwauzoefu wangu. Huyo kaachwa alikokuwa ametegemea kipindi anakufanyia nyodo na wewe kakufanya dampo.Habarini wadau.
Naombeni ushauri wenu kwenye hili bila kubagua nani atoe huo ushauri.
Najuwa wengi wetu especially wanaume tumepitia ile hali (situation) ambapo kuna mwanamke ulimpenda sana kwa moyo wako wote na yeye alilifahamu hilo.
Ila kwa kujua kuwa amependwa basi akatumia nafasi yake kucheza na hisia zako indirectly kwa maana ya kuwa hakuwa muwazi na hisia zake kwako na kujali jitihada zako za kumuonyesha mapenzi ya dhati.
Unapitia hii hali hadi unafika muda mateso ya kihisia na maumivu yanakushinda nguvu unakubali kuachia mtu unayempenda kimapenzi kupita mwanamke yoyote hapa ulimwenguni. Unamuacha na kuanza safari ya maumivu makali bila yeye na bila kujua hatima ya moyo wako eneo la mapenzi.
Unaamua kuwa sugu na kujikaza muda unakwenda na kichwa chako taratibu kinaanza kukubaliana na ukweli kuwa hautakuwa nae tena na unatakiwa kufungua kurasa mpya.
Unafanikiwa kuruhusu akili yako kuanza mahusiano na watu wapya na hatimae unakutana na binti mwingine tena mdogo kuliko yule aliyekuumiza ila huyu anakuja kivingine, anakupenda na kukujali. Unajitahidi kumpima na kuona hila ndani yake ila hola unakuta hakuna sababu ya kutokumuamini. Unaona si mbaya kukubaliana na ukweli kuwa amekuja mwingine ambaye anaweza kukupa ujasiri wa kupenda tena ingawa si kama mwanzo.
Unalianzisha na safari hii penzi linakuwa zuri na la amani na maisha yanaenda. Hatua zinapigwa na unaanza kuona maisha haya hapa katika sura ya utu uzima na unaweza sasa kujiita mtu mwenye maisha yake.
Ukiwa na utulivu wako na kila kitu kwenye utaratibu unashangaa ujumbe unaingia, ni yule kidudu mtu ambaye sasa humuoni tena special. Anakutafuta kwasababu anazozijua yeye ila moyoni hauna tena imani nae na unashangaa hata kwann akutafute baada ya muda mrefu kupita.
Mbali na maneno yake mbali mbali ya kinafiki na kujaribu kukurubuni anakuja na nia ya kutaka kutazamia kama anaweza kukurejesha mlipoishia na kutaka kutengeneza amani na wewe na kukuomba msamaha kuwa at least umsamehe ili awe na amani ya moyo kuwa aliyekukosea hadi huko aliko anaona baraka zake hazipatikani wala mambo hayamuendei vema eneo la mahusiano umeweza kumsamehe.
Guys hebu mnambie huu wakati au hii moment wewe kama yalikukuta ulifanya nini, ulisema nini, ulitamka nini, ulikuwa katika hali gani?
Haya yamenikuta aiseee hasira ni nyingi hapa, sijaongea kitu nimekaa kimya nisije nikakosea shabaha.
Ndivyo walivyo!!Habarini wadau.

Hapana hapa sina mpango wa kumrejea ila naongelea wenzangu mliopitia hii experience ya mwanamke aliye kutoroka kwa visa then anarejea akiwa ameufyata, reaction yako ilikuwaje?Mkuu vipi unaweza kuurudisha mkojo ulioukojoa?, kama hauwezi basi inatakiwa usiweze pia kumrudisha huyo manzi.
Ikitoka imetoka hakuna kurudi Mkuu, kidogo tunachoweza ni kuzuia/kubana asitoke ila tukiumia tuaachia tu. No shida.
Sio kwamba nataka mrejea hapana, nazungumzia kwa ninyi wenzangu ambao mlishapitia situation kama yangu, mlihandle vipi ile hasira ya kuhisi mtu aliyekufanyia upuuzi kaja kukusanifu , maana siamini kuwa amekuja kwa nia ya kuyajenga na mimi.Wewe ndo manager wa maisha yako.
Fanya hiring,firing,demote na promote watu kwenye maisha yako accordingly... emotions weka pembeni
Nipo na mtu mwingine, na sijaongea nae juu ya hili ingawa najua anafahamu kuwa nipo nae maana siwezi kuwa single muda wote huu.Kama uko single endelea nae, ashajifunza huyo ila kama uko na mtu mwingine mjulishe kisha heshimu mahusiano yako tulia. Kila binadamu hufanya ujinga na anastahili second chance kama ipo ila kama haipo mjuze nafasi imejaa a move on
Dah mzee nina hasira nae na hapa ni vile ananitafuta kwa simu najaribu kumkwepa ila natafuta siku nimwite sehemu tukutane halafu nijikaze nimpe maneno ambayo huku atakapokwenda atakuwa anafikiria mara mbili mbili kuingia kwenye mahusiano na mtu yoyote bila dhamira ya kuharibu.Wala usihangaike nae. Huyo ashakutana na mambo magumu huko alipoenda ila laiti kama mambo yangemnyookea asingerudi. Temana nae na asikuzoee kabisa.
Miaimamo ndio kitu gani hiyo mzee ? [emoji23]Unaanzaje sasa hapo, tushapitia huko tumebaki na miaimamo yetu mpaka watu wanatuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi yalinikuta hivi hivi ila jumbe zake ndefu nilizijibu kwa emoj moja tuuuuu, hii hapa chini.Habarini wadau.
Naombeni ushauri wenu kwenye hili bila kubagua nani atoe huo ushauri.
Najuwa wengi wetu especially wanaume tumepitia ile hali (situation) ambapo kuna mwanamke ulimpenda sana kwa moyo wako wote na yeye alilifahamu hilo.
Ila kwa kujua kuwa amependwa basi akatumia nafasi yake kucheza na hisia zako indirectly kwa maana ya kuwa hakuwa muwazi na hisia zake kwako na kujali jitihada zako za kumuonyesha mapenzi ya dhati.
Unapitia hii hali hadi unafika muda mateso ya kihisia na maumivu yanakushinda nguvu unakubali kuachia mtu unayempenda kimapenzi kupita mwanamke yoyote hapa ulimwenguni. Unamuacha na kuanza safari ya maumivu makali bila yeye na bila kujua hatima ya moyo wako eneo la mapenzi.
Unaamua kuwa sugu na kujikaza muda unakwenda na kichwa chako taratibu kinaanza kukubaliana na ukweli kuwa hautakuwa nae tena na unatakiwa kufungua kurasa mpya.
Unafanikiwa kuruhusu akili yako kuanza mahusiano na watu wapya na hatimae unakutana na binti mwingine tena mdogo kuliko yule aliyekuumiza ila huyu anakuja kivingine, anakupenda na kukujali. Unajitahidi kumpima na kuona hila ndani yake ila hola unakuta hakuna sababu ya kutokumuamini. Unaona si mbaya kukubaliana na ukweli kuwa amekuja mwingine ambaye anaweza kukupa ujasiri wa kupenda tena ingawa si kama mwanzo.
Unalianzisha na safari hii penzi linakuwa zuri na la amani na maisha yanaenda. Hatua zinapigwa na unaanza kuona maisha haya hapa katika sura ya utu uzima na unaweza sasa kujiita mtu mwenye maisha yake.
Ukiwa na utulivu wako na kila kitu kwenye utaratibu unashangaa ujumbe unaingia, ni yule kidudu mtu ambaye sasa humuoni tena special. Anakutafuta kwasababu anazozijua yeye ila moyoni hauna tena imani nae na unashangaa hata kwann akutafute baada ya muda mrefu kupita.
Mbali na maneno yake mbali mbali ya kinafiki na kujaribu kukurubuni anakuja na nia ya kutaka kutazamia kama anaweza kukurejesha mlipoishia na kutaka kutengeneza amani na wewe na kukuomba msamaha kuwa at least umsamehe ili awe na amani ya moyo kuwa aliyekukosea hadi huko aliko anaona baraka zake hazipatikani wala mambo hayamuendei vema eneo la mahusiano umeweza kumsamehe.
Guys hebu mnambie huu wakati au hii moment wewe kama yalikukuta ulifanya nini, ulisema nini, ulitamka nini, ulikuwa katika hali gani?
Haya yamenikuta aiseee hasira ni nyingi hapa, sijaongea kitu nimekaa kimya nisije nikakosea shabaha.
Hapana tukishakulana sana ila ilikuwa ni kipindi cha kujipanga na maisha huku nasoma chuo. Then nilipomaliza yeye akawa ni mtu haueleweki, mara afiche last seen, mara hauoni status zake, mara akughost, ukimwita muongee kuwa anashida gani utadhani ana mapepo yaani aisee. Sasa sikuwa namuelewa, hakuonyeshi wala kukwambia kuwa yupo na mtu anaishi maisha ya usiri haeleweki, yeye ni mtu wa kukwambia anaishi sijui kwa rafiki zake mara kwa ndugu yake haeleweki.Unajua kwann roho imekuuma!!!
Kwakua mara ya kwanza anapokupotezea,ulikua bado hujamchakata mbususu..
Hawezi toboa hapa. Nishaamua kuishi kivingine sana kitakachotokea hapa ni yeye kupoteza muda na akili yake tu kuhisi anaweza nichezea akili.Kula buyu huna hata haja ya kumjibu, usikubali mtu akufanye extra hata siku moja, wanawake walivyo wengi mtu kukugeuza uwanja wa mapumziko ni ujinga.
Ndugu, wadhani ninaomba ushauri wa namna ya kumpokea upya au vipi? Nauliza namna mlifanya kumrudishia na kumteach lesson mwanamke ambaye alifanya kukudharau na kuleta mzaha na efforts zako namna ambayo ulipomteach lesson aliondoka akawa na adabu kwa wanaume wengine.Kuna jamaa yangu akiomba ushauri, anaitika kama kauelewaa ushauri lakini utamkuta tena najambo lile lile..
Pole mkuu, utapata pumziko
Siwezi kulala nae itakuwa dharau sana kwa heshima yangu. Hapa hata kuonana nae nawazia nimpe makavu gani nisipoteze hata dakika kumi, yaani sitaki mazungumzo ya kusikiliza anajitetea nataka nimuache na waraka wangu ajue nilivyojisikia na alichofanya na sitaki kumrudishia mic [emoji441] ajitetee au tuyazungumze hapana.Kwanza hiyo ni dharau, Master achana na huyo Demu. Kama unataka kulipiza basi mtegee aingie kwenye Mfumo butua Alfu piga chini ila kuishi naye huyo hafai coz ipo siku tena atakuumiza kwa tamaa zake hizo
Mpe block tu.. baasi...au revenge ...Sio kwamba nataka mrejea hapana, nazungumzia kwa ninyi wenzangu ambao mlishapitia situation kama yangu, mlihandle vipi ile hasira ya kuhisi mtu aliyekufanyia upuuzi kaja kukusanifu , maana siamini kuwa amekuja kwa nia ya kuyajenga na mimi.