Hebu naombeni mnipe maoni yenu juu ya hili

Hebu naombeni mnipe maoni yenu juu ya hili

Mkuu bado huja move on?
Umepata wapi nguvu ya kuandika uzi mrefu hivi kumuhusu huyo Ex wako?
Ungekua huna mapenzi ama humpendi wala usingekuja kuomba ushauri humu..
Ungemlamba tofali maisha yaendelee....

Mapenzi hayashauriwi ila ni wazi utamrejeea
Kama nilivyosema awali kuwa tulimalizana mazingira ambayo mimi sikuwa nimemuacha na sikuwa tayari kumuacha ila ikabakia vile sababu sikuwa na namna ya kuishi nje ya maumivu so nikaishi nayo.

So upo sahihi kusema sijamove on, shida iliyopo ni mtu yule yule anakuja kama kukucheki kuwa nilivyokufanyia nikakuacha unaendeleaje, sasa vile namna nilivyo kimya sijamuonyesha mrejesho ndio anahangaika ndio nimekuja hapa nataka nijue ninyi mlifanyaje kudeal na mtu wa namna hii aondoke akiwa amejifunza lesson moja kali sana huko aendapo.

Kuna muda nawaza vitu vya ajabu kumkomesha ila nafikiria heshima yangu na utu plus malezi niliyokulia nashindwa kuamua kumfanyia uhuni ila aiseee.
 
piga blocku hyo umbwa na usiangalie nyuma tena
Natamani nimblock ila naona nitakuwa sijamalizana nae vizuri. Nataka tumalizane akiwa ameadabika. Aondoke akiwa anajua kuwa nilishamshinda na sio yeye kashinda. Upendo wote niliokuwa nao kwake kwasasa umegeuka sumu kali ya chuki.
 
kwauzoefu wangu. Huyo kaachwa alikokuwa ametegemea kipindi anakufanyia nyodo na wewe kakufanya dampo.

Mbwa kama hao huwa sinaga huruma nao coz kufanywa second choice inaumizasana. Kwakifupi huyo nishetani katika maisha yako mtibua mambo chichanganye uone. Jamaa analolikubali likimrudia anakukimbia tena.

Piga chini devil huyo
Kuna muda natamani ninywe nae wine halafu twende lodge then niwaite washkaji wamle mtungo nimrekodi kisha nimgeuze mtumwa wangu akizingua namwambia hii video nitaisambaza, ila nikifikiria kwa kina tena naona hapana mimi sio mtu wa hiyo haiba na sina hiyo historia.

Huwa nawaza sana utu kazi aisee. Huwa natamani kumfanyia kitendo cha ukatili aumie halafu akiwa anatokwa machozi aniulize why umenifanyia hivi nimhadithie sasa alikonipitisha na yote nilivyojiskia hata kama kwake ni madogo kwangu mimi yameniendesha sana na nilitaka alipie kwa hesabu kubwa sana. Na sasa sijamalizana nae hiyo nimemfanyia ni sehemu ndogo sana ya maumivu natamani aumie zaidi.

Nataka ajue hasira niliyo nayo.
 
Mimi yalinikuta hivi hivi ila jumbe zake ndefu nilizijibu kwa emoj moja tuuuuu, hii hapa chini.
[emoji867]
Me nahisi hivi tunavyoowachia wanaondoka hawajifunzi na wanakwenda kuwafanyia huu unyama tena watu wengine na wakikutana na mabinti wadogo hawatawaambia kuwa wanaume hawapendi kuwa treated namna hii na ukiwafanyia hivi wanaweza kukufanyia umafia hatari na ujutie.
 
Temana nae yaani siku zote mwanamke akishajua kua anapendwa hua anapata kiburi kimoja kibaya ambacho mwishowe kinaendaga mpoteza.
Uyo asikuzingue kashakua nuksi tu na usitake akuambukize na wewe
We kama unahasira imekujaa mwite mchane makavu yake apite hivi akajitafakari mbele ya safari ili ajue bahati aijagi mara mbili.
Hiki ulichokisema hapa mwishoni hapa ndio ninachotaka tuongee. Nataka kufahamu maneno au namna ya kumfunza adabu ili atakapokwenda ajue maana ya adabu na kuheshimu hisia za wengine na sio kuhisi mahusiano ni michezo ya kidali poo.
 
Dah mzee nina hasira nae na hapa ni vile ananitafuta kwa simu najaribu kumkwepa ila natafuta siku nimwite sehemu tukutane halafu nijikaze nimpe maneno ambayo huku atakapokwenda atakuwa anafikiria mara mbili mbili kuingia kwenye mahusiano na mtu yoyote bila dhamira ya kuharibu.
Si umblock? Huyo naamini kaja kwa lengo la kukuharibia hana lolote la maana. Na hamna haja ya kukutana nae huwezi jua ana mipango gani juu yako.
 
Mpe block tu.. baasi...au revenge ...
Block haita tosha na ingekuwa kama lengo ni kumblock ningeshamblock kitambo sana. Ninachotaka ajifunze lesson kutokana na tabia zake na ninataka ajue kabisa kimetokea au nimemtamkia kauli fulani sababu ya namna niliyojisikia na sitaki ajitetee au kuniomba msamaha maana sitaweza msamehe na sina huo msamaha hata afanyaje.
 
Kuna muda natamani ninywe nae wine halafu twende lodge then niwaite washkaji wamle mtungo nimrekodi kisha nimgeuze mtumwa wangu akizingua namwambia hii video nitaisambaza, ila nikifikiria kwa kina tena naona hapana mimi sio mtu wa hiyo haiba na sina hiyo historia.

Huwa nawaza sana utu kazi aisee. Huwa natamani kumfanyia kitendo cha ukatili aumie halafu akiwa anatokwa machozi aniulize why umenifanyia hivi nimhadithie sasa alikonipitisha na yote nilivyojiskia hata kama kwake ni madogo kwangu mimi yameniendesha sana na nilitaka alipie kwa hesabu kubwa sana. Na sasa sijamalizana nae hiyo nimemfanyia ni sehemu ndogo sana ya maumivu natamani aumie zaidi.

Nataka ajue hasira niliyo nayo.
Hiyo aya ya kwanza sikushauri. Unachotakiwa kujua mapenzi huja na kupotea. Mlipendana kipindi kile akakuzingua muache aende mazima hata baada ya kujirudisha wewe usihangaike nae. Kama ni funzo naamini kashalipata huko alipokwenda ndio mana alirudi. Achana nae.
 
Kama umeshalitambua hilo ni vizuri, waswahili walisema kulia kupokezana sahivi ni zamu yake.
Sidhani kama yupo kwenye hali ya kulia ila nina uhakika huko alipokuwa ameshaona hapana jipya kurejea kwake ni kuja kutafuta excitement upya kwangu hilo nina uhakika sasa nataka nimsuprise na mrejesho ambao utamuacha katika hali ya kujifunza na kujua alinikosea sana na hakuna namna nitaweza msamehe.
 
Sio kwamba nataka mrejea hapana, nazungumzia kwa ninyi wenzangu ambao mlishapitia situation kama yangu, mlihandle vipi ile hasira ya kuhisi mtu aliyekufanyia upuuzi kaja kukusanifu , maana siamini kuwa amekuja kwa nia ya kuyajenga na mimi.
She wants to see kama ume move on au bado. Nothing more. Ukimsamehe atajua huna ujanja. Ukimpotezea anajifanya anaumia yaani unakuwa rebound. Mchane, Kisha mpotezee kwakuwa una maisha mengine ya mahusiano. Huna haja ya kuendeleza kitu ambacho unajua wazi hakina manufaa. Shida hapo ni kuwekana wazi siyo kufichana au kukaa kimya, maana kimya kinatafsirika tofauti na watu tofauti tofauti. Just communicate and be precise kuwa una mahusiano mengine.
 
Hiki ulichokisema hapa mwishoni hapa ndio ninachotaka tuongee. Nataka kufahamu maneno au namna ya kumfunza adabu ili atakapokwenda ajue maana ya adabu na kuheshimu hisia za wengine na sio kuhisi mahusiano ni michezo ya kidali poo.
Iyo kwani ata inakuaga na ugumu bhasi yani akianza ropoka tu uongo wake... aaa maneno yanakujaga auto yaaani kwa hasira ulizonazo nazani unamaneno buku apo kifuani unayotaka mwambia.
Na nikuambie kitu tu kwa maneno hayo uliyonayo kifuani tu ukimwambia yaani kwake ni mwiba utakao mchoma ambao hatokaa asahau maumivu yake kamwe.We sikiliza tu upuuzi wake atakao uongea afu uone maneno yatakavyo tiririka
 
Anataka aone kama bado unampapatikia ili avuruge mahusiano yako.
Sina uhakika kama anajua nipo na nani ila anajua nipo na mahusiano na kuja yake imekaa kama ya kuwa hana taarifa za kutosha kuhusu mimi na anataka jaribu kuona nipo wapi kimaisha na ninaendeleaje maana ana maswali ya kipumbavu sana aisee.

Mtu anakupigia anakuuliza maisha yanasemaje, una baby gal au baby boy, maana najua utakuwa tayari unamtoto.

Huwa namantain my cool ila kifuani ninakuwa nina hasira kali sana huwa natamani kumjibu na matusi ila huwa nazikalia hizi sms sizijibu kwa kisingizio kuwa nipo busy.

Ila target yangu nataka nipate moment ya kutoa hukumu bila kumsikiliza wala kumpa nafasi ya kujitetea kisha sitatazama nyuma wala kujali alijisikiaje.
 
Si umblock? Huyo naamini kaja kwa lengo la kukuharibia hana lolote la maana. Na hamna haja ya kukutana nae huwezi jua ana mipango gani juu yako.
Kumblock ningeshamblock kitambo sana but ni kama nilikuwa nasubiria hii moment nikijua atarejea tu ili nimuonyeshe kuwa yeye kwa dhamira yake alitaka kunidhuru. Kumblock sitakuwa nimepata hiyo fursa.

Nataka nimuachie maneno ya laana hivi.
 
Me nahisi hivi tunavyoowachia wanaondoka hawajifunzi na wanakwenda kuwafanyia huu unyama tena watu wengine na wakikutana na mabinti wadogo hawatawaambia kuwa wanaume hawapendi kuwa treated namna hii na ukiwafanyia hivi wanaweza kukufanyia umafia hatari na ujutie.
Mkuu kuna husiano nimeamua kuachana nalo baada ya kuona nitakuja ua toto la mtu, napiga sana mpaka nafukuza usiku wa manane linarud linacoffense tunaishi ishi linazingua tena sasa nimeona kwanini niue niende jela🚮
Vijana msigandaneee.
 
Kumblock ningeshamblock kitambo sana but ni kama nilikuwa nasubiria hii moment nikijua atarejea tu ili nimuonyeshe kuwa yeye kwa dhamira yake alitaka kunidhuru. Kumblock sitakuwa nimepata hiyo fursa.

Nataka nimuachie maneno ya laana hivi.
Sawa sawa.
 
Si umblock? Huyo naamini kaja kwa lengo la kukuharibia hana lolote la maana. Na hamna haja ya kukutana nae huwezi jua ana mipango gani juu yako.
Kuna Binamu yangu alikuwa na binti kipindi hicho binti alikuwa mzuri sana. Akamuacha ile ya ghafla akaanza kutoka na muarabu koko fulani hivi, hadi akasilimu akawa anajifanya muislam.

Jamaa akamchezea chezea sana akamfuga miaka kadhaaa akatemana nae, demu akarudi mjini akawa anaendelea na maisha ya mjini haya ya kudanga hata haeleweki.

Akawa anafanya fanya biashara. Akapata mwanaume akamchukua aishi nae. Jamaa wakaanza tafuta mtoto walitafuta kwa shida sana. Kuna kipindi alibeba ujauzito hadi muda wa kujifungua unafika demu mambo hayasomeki, mtoto alifia tumboni na hakuwa ameumbika vema. Aliendelea lakini hakukuwa na mafanikio. Wakashindwana na mwamba akapiga chini, akaenda kwa mshikaji mwingine yale yale.

Demu alienda kanisani nasikia akaambiwa kuna mwanaume ulishawahi kuwa nae ulimuacha katika hali ya huzuni sana ndie amefunga uzao wako. Demu akaenda kwa waganga hola akijua mambo ya ushirikina, akarudi kanisani mchungaji akamwambia mtafute jamaa kwanza tuzungumze nae. Kuja kumtafuta yule ndugu yangu akachomoa kuonana nae akasema kwanza asimtafute kwa mambo ya kipuuzi.

Yule dada alitafuta ndugu wamuombee msamaha, sasa wakimcheki huyu binamu anawashangaa kuwa ni lini alishamfanya chochote ni yeye ndie aliondoka tena kwa dharau sasa leo anarudi anamletea hizo drama ni za nini kwan ni wapi alimwambia yeye hatazaa.

Binti alitia huruma sana yule. Mwisho jamaa akawa sasa anashangaa tu sasa unataka nifanyaje. Alisota sana yule dada hadi sasa yupo yupo tu anasali kwa mwamposa siku hizi na yupo na 39 kama sio 40. Amevurugwa plus anakisukari.

Huyu binamu yangu huwa anasema "malipo ni hapa hapa duniani" unamuacha mtu anaumia anasota nusu ya kuchanganyikiwa kwaajiri yako then unataka maisha yaendelee tu as if wewe ni last born wa MUNGU.
 
Back
Top Bottom