PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Wote watalipa wanaofanyia wengine ubaya
 
Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine tu huko CCM, unAa suggest kitu cha kijinga Katiba ni Nchi siyo ya chama.
Hata kama ya nchi simnasema iliyopo ni mbaya na mbovu sawa hata mimi nakubali kuwa ni mbaya na mbovu je yenu ya sampo ambayo ni nzuri ikowapi ili wananchi waweze kujua kuwa mkipewa nchi mnakusudi gani kikatiba au mnauza mbuzi kwenye gunia maana kuwaambia watu katiba iliyopo ni mbovu bila ya kuonyesha sampo ya katiba yenu nzuri ni sawa na kumwambia mtu asile chakula bali akakitupe jalalani bila kisha utampa chakula chema bila ya kumwonyesha hicho chakula ni gani na kiko wapi na kiko vipi.
 
Hii ndio kiki yenu siku zote, i wonder CAG kama hakutumwa na mamluki kumchafua JPM na pia mbali na yote kiongozi gani wa CCM ambaye hajawahi kujipigia hela. Kwanini kwa Magufuli ionekane ni jambo la ajabu mno?
Linaonekama ni ajabu kwa sababu ya unafiki wake. Alikuwa anajiita mzalendo huku anapiga pesa. Wajinga walikuwa wanaitwa wanyonge basi wanafurahi kweli kweli. Unajua mara nyingi masikini huwa anafurahi sana akisikia tajiri kapata madhira. Jiwe kwa kulijua hilo akawa anatembelea humo humo kwa kusema yeye ni Rais wa wanyonge. Sasa jiulize hao wanyonge kama aliwatoa kwenye huo unyonge wao au aliwageuza mtaji tu. CAG unasema labda alitumiwa vp kuhusu kivuko mpaka akakigawa kwa Jeshi kukwepa aibu, au hilo nalo nani alitumiwa?
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Kwa hiyo Mzee musitafu Freeman Aikaeli Mbowe alilipwa hapa hapa duniani mlipomnyoosha Mzee wa watu kajikalia pembeni
 
Hata kama ya nchi simnasema iliyopo ni mbaya na mbovu sawa hata mimi nakubali kuwa ni mbaya na mbovu je yenu ya sampo ambayo ni nzuri ikowapi ili wananchi waweze kujua kuwa mkipewa nchi mnakusudi gani kikatiba au mnauza mbuzi kwenye gunia maana kuwaambia watu katiba iliyopo ni mbovu bila ya kuonyesha sampo ya katiba yenu nzuri ni sawa na kumwambia mtu asile chakula bali akakitupe jalalani bila kisha utampa chakula chema bila ya kumwonyesha hicho chakula ni gani na kiko wapi na kiko vipi.
Rasimu ya Katiba ya Warioba ambayo serikali iligharamia kwa mamia ya mabioni ya kodi zetu nani waliichakachua na kukwamisha uandikaji wa Katiba mpya? Hoja ya sample ya Katiba ya Chadema huu ni utoto, Katiba ya nchi haiandikwi na chama cha siasa, sana sana Chadema wametaja vifungu vya Katiba ya sasa ambavyo ni kikwazo cha kuwa na Taifa la kidemokrasia ya vyama vingi. Chadema ilishiriki kwenye mchakato wa kuandika Katiba mpya kwa kutoa maoni na mawazo yao kwenye Tume iliyoongozwa na Jaji Warioba na mengine ndiyo yalikuwepo kwenye Rasimu ya Katiba mpya amabyo maccm mliyayakataa.
 
Kwamba huyu Mbunge hapo alipo ndio analipwa ? Na mbangaizaji anayepigika (ambao ndio majority) hata hawajui kama watapata mlo mmoja kwa siku malipo yao au fadhila watapata lini ?

Tatizo tumejikita sana kwenye symptoms na sio root causes; kama hayo ndio malipo majority wangeshangilia kinachotokea; Hizo dua za kuku inabidi ziachwe, au ziwe mazungumzo baada ya habari na sio habari yenyewe
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Anatamani Lema akamtetee. .....naye huyo anayemtesa ipo siku yake.
 
Rasimu ya Katiba ya Warioba ambayo serikali iligharamia kwa mamia ya mabioni ya kodi zetu nani waliichakachua na kukwamisha uandikaji wa Katiba mpya? Hoja ya sample ya Katiba ya Chadema huu ni utoto, Katiba ya nchi haiandikwi na chama cha siasa, sana sana Chadema wametaja vifungu vya Katiba ya sasa ambavyo ni kikwazo cha kuwa na Taifa la kidemokrasia ya vyama vingi. Chadema ilishiriki kwenye mchakato wa kuandika Katiba mpya kwa kutoa maoni na mawazo yao kwenye Tume iliyoongozwa na Jaji Warioba na mengine ndiyo yalikuwepo kwenye Rasimu ya Katiba mpya amabyo maccm mliyayakataa.
Ccm ndiyo walio ichakachua na kuikataa hivyo ilitakiwa nyinyi muunde na muwe na sampo ya katiba nzuri kisha kuinadi kwa wananchi ili kuwabana ccm.kwani mkiandika katiba na kuinadi na wananchi kuvutiwa nayo na kuipa chadema kura nyingi kwa sababu ya hiyo katiba bora iliyo wavutia wananchi na hivyo wananchi kuipitisha katiba kwa njia ya kuipigia kura chadema hivyo wananchi kuwapa kura za ushindi.....kisheria hiyo katiba inakuwa imesha pitishwa na wananchi maana mliinadi kama sera zenu na wananchi wakawachagua ...tumia akili tatizo lenu chadema hamna akili.kama nilivyo sema....kwani nyinyi chadema siyo wananchi sasa unavyo sema katiba kuandikwa na wananchi maana yake ni akili zako mbovu..bora ungesema katiba upitishwa na wananchi na hapo ndiyo ingepitishwa kwenye kura za uchaguzi
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Na wewe jiandae kuulipa
 
Ccm ndiyo walio ichakachua na kuikataa hivyo ilitakiwa nyinyi muwe na sampo ya katiba nzuri kisha kuinadi kwa wananchi ili kuwabana ccm.
Kwa mazingira ya sasa unafikiri hicho kitu kinawezekana? Kwa sababu kuinadi ina maana kufanya mikitano ya hadhara jee Polisiccm watakubali mikutano ya jinsi hiyo?Nafikri umeona mwenyewe Polisi wanavyohaha kuisamabaratisha mikutano ya No Reform No Election wanaitafisri kama ni kuhamasisha uasi japokuwa maana halisi ya mikutano hiyo ni kutoa elimu kwa wananchi waelewe thamani ya kura yao na wakatae mfumo wa uchaguzi ambao hauipi thamani kura yao jambo ambalo ni elimu ya kawaida tu Uraia.
 
Back
Top Bottom