PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Siasa za Tanzania ili hudumu inataka akili za kwenda na mdundo wa uongozi uliopo na ku-adapt mambo yakibadilika.

Halafu kuna wale wachache ambao hawaelewi huo msingi wanadumu kwa bahati ya kupendwa tu na viongozi ila sio kuelewa utaratibu wa kudumu kwenye siasa.

Ipo siku tu Makonda atanasa kwa watu aliowakera na wapo wengi (Watch this space), he is just too shallow.

Kitu kimoja ambacho wana CCM wanakijua ni kutodhalilishana kwa nafasi ya makofi ya kuazima.

Makonda hajui mipaka hiyo, siku yake yaja.

Alichomfanyia Gambo ni kumuingiza chaka kwa kumtumia mtu wa kumpa details za uongo katika vita yao Arusha.
 
Kwa sasa katika watu ambao watatubu sana bibi bomba akila mtama ni Comedian Chalawise na sutibega aka mkaza mwana. Hawa ndio viherehere no.1 wenye kutafta ujiko.
 
Huyo alikuwa mwizi kama majizi mengine, CAG aliposema ukweli juu yake akamwondoa kwa lazima.
Hii ndio kiki yenu siku zote, i wonder CAG kama hakutumwa na mamluki kumchafua JPM na pia mbali na yote kiongozi gani wa CCM ambaye hajawahi kujipigia hela. Kwanini kwa Magufuli ionekane ni jambo la ajabu mno?
 
Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijiatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Chadema wanamekosa popularity baada ya kuanza kumshambulia hayati majukwaani JPM ni mfu anayeishi miongoni mwa watanzania..
 
Siasa za Tanzania ili hudumu inataka akili za kwenda na mdundo wa uongozi uliopo na ku-adapt mambo yakibadilika.

Halafu kuna wale wachache ambao hawaelewi huo msingi wanadumu kwa bahati ya kupendwa tu na viongozi ila sio kuelewa utaratibu wa kudumu kwenye siasa.

Ipo siku tu Makonda atanasa kwa watu aliowakera na wapo wengi (Watch this space), he is just too shallow.

Kitu kimoja ambacho wana CCM wanakijua ni kutodhalilishana kwa nafasi ya makofi ya kuazima.

Makonda hajui mipaka hiyo, siku yake yaja.

Alichomfanyia Gambo ni kumuingiza chaka kwa kumtumia mtu wa kumpa details za uongo katika vita yao Arusha.
Hiyo ni circle of life, unachokiweka ndio kitakacho kurudia. Ukiweka ubaya, usishangae ukarudi , ni suala la muda

Ndio maana wazee wetu wana recommend ishi na watu vizuri. Mambo huwa yanatabia kukurudia
 
JPM huyu huyu aliyelamba matapishi na kumrudisha Rostam kwa kumfungulia kesi kaka yake na kumpa monopoly ya gesi Tanzania. JPM alikuwa rais wa wajinga ambao hawajui kuchanganua mambo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=SAslFOG8hIA&pp=ygUUUm9zdGFtIHRhaWZhIGdhcyBqcG0%3D
Na kwa sasa binti yake ameshanunuliwa kwa ajili ya kumsaidia mama katika kampeni za mwaka huu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=zxnRBL0V3UI&pp=ygUaamFuZXQgbWFndWZ1bGkgbWlsbGFyZCBheW8%3D

Wazee wa siasa za majitaka, pamoja na yote ya kuokoteza kumchafua chuma he will still be the most relevant president after the 2nd term presidency.
 
Hiyo ni circle of life, unachokiweka ndio kitakacho kurudia. Ukiweka ubaya, usishangae ukarudi , ni suala la muda

Ndio maana wazee wetu wana recommend ishi na watu vizuri. Mambo huwa yanatabia kukurudia
Nakubaliana na wewe 100%

Iła on this instance, shida atakuwa Makonda.

Gambo ameingia kwenye trap za Makonda bungeni.

Mmbunge hana nitty gritty za mipango ya serikali, Makonda anajua.

Katika vita yao Makonda kamtumia mtu kumuingiza chaka Gambo aropoke bungeni.

Mambo ya mkoa ni decentralised decision za Arusha ambazo hazimuhusu Mchengerwa usimamizi wake baada ya kupeleka hela. Lakini Gambo anaweza uliża bungeni sintofahamu ya matumizi performance kwa waziri kuhusiana na hela zilizopelekwa.

Kwakuwa hoja zinaangukia TAMISEMI, Mchengerwa inabidi harudi kwenye serikali ya mkoa kupata taarifa sahihi kutoka kwa Makonda.

Na ndio msingi wa kufanya, alichomfanyia Gambo hadi kuomba msamaha bungeni na kumdhalilisha. Source ya Gambo, Makonda alikuwa anaijua na kumwambia ampe taarifa zisizo sahihi.

It was a set up, Gambo sio calculative ana papara and trustworthy ya watu aliokuwa anafanya nao kazi akiwa mkuu wa mkoa.

Kabla ya kuomba msamaha lazima kuna watu walishamueleza you were set up with false information in the first place

Sasa karma, ipo siku itamrudia na Makonda. Kwenye kichwa chake ameanza kujiaminisha he is actually a gangster.
 
Yaliokotwa mabilion ya hela chumbani kwake
Ujui urais ni nini 😁😁 urais ni dhamana ya uaminifu wa daraja ya juu kabisa katika nchi hivyo rais kuwa na mabilioni nyumbani kwake ni kawaida tatizo rais huyo ni mzalendo kwa nchi yake je rais hiyo anawajari masikini ...je rais huyo anachukia dhuluma kwa masikini na wanyonge .....wapumbavu wa chadema wanasema rais mwenye sifa hizo hafai sasa watuambie rais anatakiwa kuwa na sifa gani kinyume na hizi ili rais huyo awe bora .....tuelezeni sifa zilizo kinyume na hizo...ambazo tuzitazamie kwenu.
 
Back
Top Bottom