Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,096
- 29,622
Unajua kuwa wewe ukiweza kumiliki asilimia moja tu ya akili yangu ccm awatoboi?Kama unaona uko ndani ya mada, basi akili unayosema mimi nitumie wewe huna hata 1%
Unajua kuwa wewe ukiweza kumiliki asilimia moja tu ya akili yangu ccm awatoboi?Kama unaona uko ndani ya mada, basi akili unayosema mimi nitumie wewe huna hata 1%
Jiwe alikuwa dikteta mshenzi wa tabia. Huko aliko afe tenakusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Naifurahi sana polisi wakitoa kipigo Cha mbwa Koko Kwa mijitu ya chadema nimegundua kumbe ni mijizi tu inayotaka kupata nafasi serikaliniJiwe alikuwa dikteta mshenzi wa tabia. Huko aliko afe tena
ni sawa maana fomula ya kimumngu ni simpo tu "' auaye kwa upanga atakufa kwa upanga"'Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Analialia tuu,mara atoe kauri Bungeni mwenyewe,mara aikane navkuomba radhi!Na ubunge kwake byebye!Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Police wanafanya kazi nzuri sana Kwa haya manyumbu ya chademaWewe kuna mawili:- ama unapumuliwa kisogoni au ni teja.
Urafiki wa kudumu ni Mungu pekee,huwapa uhai na chakula wema na wabaya na huwapa jua na mvua wema na wabaya, HAKIKA Mungu ni Pendo.Hakuna rafiki wa kudumu
Kwa hili nakuunga mkono kuwa kila baya LAZIMA lilipwe hapa hapa duniani. Mfano Lissu alimtendea mabaya sana Mbowe, leo yupo sehemu anafanya malipizi ya mabaya aliyomtendea Mbowe. Na bado tetesi zinasema mpaka ale kitanzi!Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Kua nabii kwenye dini ya ukristo ni maamuzi yako tu, hata wewe unaweza kua nabii ukiamua.Huyo Lena ame kuwa nabii wa Mungu toka lini, au ni kuji pamba uonekane perfect?
Haws watu walishajichanganya kuitangazia Dunia JPM alikuwa dikteta,wakati kipindi cha utawala wa Magufuli sisi maskini tulijaa matumaini ya kufika katika Nchi ya ahadi,Leo hii hatuna matumaini tena tumebaki kumwachia Mungu atunusuru katika dimbwi la MatatizoChadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijihatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Ulicho sema kina weza kuwa na ukweli ila tatizo lako ni akili ...sasa nakupa hii akili ...KIAKILI TUNASEMA MPUMBAVU MMOJA ANAWEZA KUHALIBU KAZI ZA WENYE AKILI 1000 ILA MWENYE AKILI 1 AWEZI KUBATILISHA UPUMBAVU WA WATU 1000 ....MWENYE UWEZO WA HIVYO NI MUNGU TU ...hii kanuni ni yamsingi kujibu hoja yako juu...ndiyo maana democracy africa itakuwa na hasara badara ya faida ...maana kanuni ya democracy kuwa na faida inasema nilazima kwenye hiyo nchi ya kidemokrasia kuwe na uwiano wa wenye akili wengi zaidi ya asilimia 50% kuliko wapumbavu...kwa waafrica uwiano baina ya wenye akili na wapumbavu upo hivi kila mwenya akili mmoja 1 kuna wapumbavu 20...sasa niambie ni vipi demokrasia inaweza kuwa na manufaa africa.mwana chama wa kawaida wa CHADEMA mmoja sawa na viongozi wa UVCCM 10,000 na kiongozi kanda mmoja wa CHADEMA ni sawa na viongozi wote wa juu wa CCM wa CCM hadi sasa hakuna mwana ccm yeyote dunia hii anaye weza kufikia hata hadhi ya msemaji wa CHADEMA kwakweli gap kati ya CHADEMA na CCM ni kubwa sana sana kifikra na kiuelewa.
Thread 'Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na haki' Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na hakiTrash
Kosa kubwa sana walilo lifanya na kibaya awatambui hata sasa kuwa walifanya kosa japo yanayo wapata sasa hivi ni mabaya na yatazidi kuwa mabaya kwao ...huu ni ushahidi kuwa chadema kuna wapumbavu wengi sana.Haws watu walishajichanganya kuitangazia Dunia JPM alikuwa dikteta,wakati kipindi cha utawala wa Magufuli sisi maskini tulijaa matumaini ya kufika katika Nchi ya ahadi,Leo hii hatuna matumaini tena tumebaki kumwachia Mungu atunusuru katika dimbwi la Matatizo
huenda angekua chadema,CC Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa & Co

Akili zako ni sawa na akili za samia aliona urais ni kazi nyepesi hivyo kudhani hata mpumbavu anaweza matokeo yake ndiyo haya...NI LAZIMA RAIS MZURI WA TANZANIA AWE NI DICTATOR KWA SABABU TANZANIA IMESHATIWA MIKONONI WA WAHALIFU WA NDANI NA WAKIGENI KWA KUPITIA UFISADI WAO ...ILI KUREVESI HAYO NI LAZIMA NI LAZIMA RAIS MZALENDO A SWITCH DICTATOR MODE kupambana na hayo ...mfano mikataba ya kifisadi ya bandari unawezaje kufumbua ilo fumbo bila ya udictetaJiwe alikuwa dikteta mshenzi wa tabia. Huko aliko afe tena