PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaliokotwa mabilion ya hela chumbani kwake
Hiyo pesa ilikuwa ni yake au ya umma?
Lakini kama ilikuwa ni ya kwake au ya umma kuwekwa mabilioni ya fedha nyumbani kwake badala ya bank si ndio viashiria vya kutakatisha pesa?

Na wakati ule utakatishaji pesa ulichukuliwa kuwa ni Economic Sabotage yaani kuhujumu uchumi.Kabendela,Singh,Malinzi,Rugemalila na watu wengi wengi walifunguliwa kesi katika mahakama maalumu ya kuhujumu uchumi.

Nashangaa kusikia Mjomba Magu muhimizaji uzalendo na aliyejitambulisha kama kiboko cha wahujumu uchumi na mtumbua majipu namba mmoja alikuwa ndio MASTER wa uchafu huo.
Kama hizo habari ni za kweli,hiyo pesa ilipelekwa wapi baada ya kugunduliwa?Na tunajifunza nini kuwa na Raisi double standard?
 
Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijihatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Mzalendo gan8 yule aliziba mdomo media na kuligeuza Bunge kibaraka? Ni wajinga tu ndio wanaamini hivyo.
 
Naifurahi sana polisi wakitoa kipigo Cha mbwa Koko Kwa mijitu ya chadema nimegundua kumbe ni mijizi tu inayotaka kupata nafasi serikalini
Mtume wao TAL, alisema wanakinukisha, hivi bado tu?
 
huenda angekua chadema,
walinzi binafsi wa heche wangeagizwa na heche mara moja kumshughulikia kama vile walivyomtembezea kipigo cha mbwa koko kama burukenge binti wa watu asie na hatia wala silaha Sigrada Mligo pale Njombe. Bila media huenda angedhulumiwa zaidi ya kibao :pulpTRAVOLTA:
Hivi hali ya mgonjwa wenu ikoje? Keshatoka ICU?
 
Nakubaliana na wewe 100%

Iła on this instance, shida atakuwa Makonda.

Gambo ameingia kwenye trap za Makonda bungeni.

Mmbunge hana nitty gritty za mipango ya serikali, Makonda anajua.

Katika vita yao Makonda kamtumia mtu kumuingiza chaka Gambo aropoke bungeni.

Mambo ya mkoa ni decentralised decision za Arusha ambazo hazimuhusu Mchengerwa usimamizi wake baada ya kupeleka hela. Lakini Gambo anaweza uliża bungeni sintofahamu ya matumizi performance kwa waziri kuhusiana na hela zilizopelekwa.

Kwakuwa hoja zinaangukia TAMISEMI, Mchengerwa inabidi harudi kwenye serikali ya mkoa kupata taarifa sahihi kutoka kwa Makonda.

Na ndio msingi wa kufanya, alichomfanyia Gambo hadi kuomba msamaha bungeni na kumdhalilisha. Source ya Gambo, Makonda alikuwa anaijua na kumwambia ampe taarifa zisizo sahihi.

It was a set up, Gambo sio calculative ana papara and trustworthy ya watu aliokuwa anafanya nao kazi akiwa mkuu wa mkoa.

Kabla ya kuomba msamaha lazima kuna watu walishamueleza you were set up with false information in the first place

Sasa karma, ipo siku itamrudia na Makonda. Kwenye kichwa chake ameanza kujiaminisha he is actually a gangster.
Gambo amejichimbia kaburi mwenyewe.
Vikao vya mipango na matumizi ya fedha ya jimbo lake yeye ni mjumbe,kwanini hakutoa malalamishi yake kwenye uongonzi wa wilaya hata mkoa?
Nadhani akili ya ku double cross wenzake bado anayo,kuwashitaki wajumbe wenzake bungeni badala ya kutumia vikao rasmi jimboni kwake ime backfire hadi Waziri Mchengerwa na Waziri Lukuvi wakampelekea moto mkali.
Nadhani nafasi ya kugombea ubunge imeyeyuka.
Kaishia pabaya alivojitia kuomba msamaha bungeni baada kukiri kuwa hoja zote ni za kubumba yaani fake.
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Ungenyosha tu wabaya wawili wamekutana sasa mmoja ni mtaalamu pia wa majungu.
 
Gambo hawezi tena mbunge labda wamtengezee Jimbo lingine kama kawaida yao
 
Huna lolote wewe kibaka tu
Chadema hamna akili mnadai katiba mpya wakati hata nyinyi tukiwauliza mkishika nchi katiba yenu iliyo bora ni ipi mtakayo itumia ili tuione ubora wake hamna ....kwani chadema na kila chama kinashindwa kuandika sampo ya katiba na kuinadi kwa wananchi.
 
Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine tu huko CCM, unAa suggest kitu cha kijinga Katiba ni Nchi siyo ya chama.
 
Ila bado sijaona waarabu na wazungu wamelipwa kwa waliyowafanyia waafrika.
Nashindwa kujua hii ni universal rules/principles/laws whatever or ndio haifanyi kazi kwa wazungu ama waarabu.
Kwanza ndio vizazi vyao vinazidi kupeta huku waafrika vizazi vyao vina Maisha ya kuhurumiwa
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Karma
 
Back
Top Bottom