PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
huenda angekua chadema,
walinzi binafsi wa heche wangeagizwa na heche mara moja kumshughulikia kama vile walivyomtembezea kipigo cha mbwa koko kama burukenge binti wa watu asie na hatia wala silaha Sigrada Mligo pale Njombe. Bila media huenda angedhulumiwa zaidi ya kibao :pulpTRAVOLTA:
Hofu yetu ni polisi wa ccm almaarufu interahamwe wangemuua na kumtupa mabwepande mchana mweupe akafe
 
Siku zote ukimtumikia shetani ushirika wenu ni wa muda na ipo siku shetani anakugeuka!
Mtumikie Mungu wako kwa moyo wako wote na nguvu zako zote upate thawabu.
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
shika heshma yako we kijana! sisi si mamluki eboo?
 
Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijihatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
una akili saana wewe
 
Kwamba Jiwe alikuwa Mzalendo! Muogope Mungu Kijana
 
Tumia akili ...nyinyi ndiyo wale mnaodhani kiongozi mzuri ni yule asiyeua watu ...akili zenu no mbovu ...kuda damu isiyo na hatia na damu yenye hatia
 
Kuuawa kwa Ben Saanane kulikupa wewe faida gani?
 
Lengo la mbowe akishirikiana na ccm walio chukia uzalendo wa JPM ilikuwa ni kumchafua JPM kimataifa . Hao kumwaga damu isiyo na hatia kwa ajili ya maslai yao binafsi siyo shida ...hata leo mbowe anatamani sana ccm ikimuua Lissu ndiyo maana ujasikia akisema chochote kuhusu kutiwa jela lissu....
 
Huna hoja
 
mwana chama wa kawaida wa CHADEMA mmoja sawa na viongozi wa UVCCM 10,000 na kiongozi kanda mmoja wa CHADEMA ni sawa na viongozi wote wa juu wa CCM wa CCM hadi sasa hakuna mwana ccm yeyote dunia hii anaye weza kufikia hata hadhi ya msemaji wa CHADEMA kwakweli gap kati ya CHADEMA na CCM ni kubwa sana sana kifikra na kiuelewa.
mpaka sasa hakuna evidence ku sapoti hayo unayoyasema, mbona wanachama nguli wanazidi kuikimbia CDM??, unambishia Mh Estther Bulaya?, kamaliza assignemt timu daraja la 3(CDM) na kurudi Barcelona (CCM)😀

View: https://youtu.be/3uEbyLWE31I?t=5
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Ila Gambo anateswa +kuonewa sana.
Na hana Mtetezi.
Tumaini lake aweke kwa Mungu.
 
Cc. Lucas mwashambwa
 
Back
Top Bottom