Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,299
- 283,265
unajuaje?? kama huko alikuwa anazuga na kukusanya taarifa?? maana naona yupo happy kurudi timu kuwa ya kimataifaWe mwenyewe unajua kabisa unacho kisema ni uongo, CHADEMA na wananchi CCM na w3zi wa mali za umma hivyo

Mshazichapa na monetary Dr!?Nionyeshe ukubwa wako kwa maarifa na vitendo, na sio vyeti vya hospital maana sisi wengine tume zaliwa porini.
kukusanya taarifa azipeleke wapi? habari za FC Barcelona (CCM) azipeleke kwa Leicester City F.C. (defunct CDM) timu iliyokufa??unajuaje?? kama huko alikuwa anazuga na kukusanya taarifa?? maana naona yupo happy kurudi timu kuwa ya kimataifa![]()
😆😆😆😆Gambo haufai. Akiwa RC aligombana na mbunge. Akiwa mbunge amegombana na RC. Bungeni kamchefua mkwe.
Saambaya nae kaliwa kichwaHivi Sabaya yukwapi saivi😂😂 ila KARMA is real
Vipi makonda nae karma imempendelea ama.Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Soma >>> GE2025 - Mrisho Mgambo atupwa kwenye jimbo la Arusha Mjini, Makonda apita kwenye mchujo
Usishangae akirudishwa meza kuu?Malipo ni hapa hapa
Halikuwa lengo lakeUsishangae akirudishwa meza kuu?
Alipiga pesa za michango ya watoto waliofariki kwa ajali huko Arusha kwa madai ya kujenga hospitali.Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7)