Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,624
- 272,378
- Thread starter
- #121
Sijawahi kumuua yeyote wala kumhujumu mtuNa wewe jiandae kuulipa
Sijawahi kumuua yeyote wala kumhujumu mtuNa wewe jiandae kuulipa
Ubaya ni kuua tuu? 😂😂😂😂Sijawahi kumuua yeyote wala kumhujumu mtu
Tunakushukuru kwa kuelewa somo la leoUbaya ni kuua tuu? 😂😂😂😂
Utalipa
Tunakushukuru kwa kuelewa somo la leo
Mnainadi kipindi cha kampeni kwa kuisona tena ingekuwa rahisi sana kuisambaratisha ccm hata mngeweza kuisajiri mahakamani kuwa kiapo kwa wananchi kama wakiwachagua kuwa hiyo ndiyo itakuwa katiba ya nchi hivyo mazuri ya hiyo katiba ingeiyumbisha ccm na kuifarakanisha na wananchi .. ccm inapata upenyo kwa sababu nyinyi hamna katiba inayo julikana mtakayo tumia kwa wananchi ...pia ingeondoa kila mwana chadema kuropoka kivyake maana kila mmoja ange hubiri hiyo katiba . Mfano kwenye mambo ya uraia katiba yenu ingeweka sawa kuhusu uraia na daraja zake nk CCM INGEPATA TAABU SANAKwa mazingira ya sasa unafikiri hicho kitu kinawezekana? Kwa sababu kuinadi ina maana kufanya mikitano ya hadhara jee Polisiccm watakubali mikutano ya jinsi hiyo?Nafikri umeona mwenyewe Polisi wanavyohaha kuisamabaratisha mikutano ya No Reform No Election wanaitafisri kama ni kuhamasisha uasi japokuwa maana halisi ya mikutano hiyo ni kutoa elimu kwa wananchi waelewe thamani ya kura yao na wakatae mfumo wa uchaguzi ambao hauipi thamani kura yao jambo ambalo ni elimu ya kawaida tu Uraia.
Haujaelewa Magufuli alifungia watu akaunti ambao ni wafanyabiashara wa kawaida. Kuna watu wana viwanda na mahoteli. Kuna watu wanafanya biashara pasipo kufanya kazi na serikali. Unaowaona matajiri wakubwa wa nchi hii hawaumizi vichwa. Hao matajiri wakubwa wamebebwa na serikali hadi na serikali ya Magufuli. Ninajua watu wambao wamepambana toka miaka hio mpaka wakatoboa. Kuna watu walianza na udereva taksi mpaka kumiliki biashara kubwa. (Marehem Melau Mrema na Willy Chambulo)JPM aliweka nguvu Sehemu ambayo sio. Aliwafungia watu akaunti zao na kuchota hela kibabe. Baada ya kuona hakuna hela ikabidi amfungulie kaka yake Rostam kesi ya ujangilj ili Rostam aje. Baada ya Rostam kufungua Taifa gas na kuanza kuuza gas Kenya,Uganda na Rwanda angalau akapata ahueni. Alivyofariki wafanyabaishara walipata ahueni. angalau.Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijihatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Unacho suggest hapo kwenye bold kina ladha nzuri lakini hakitekelezeki.Mnainadi kipindi cha kampeni kwa kuisona tena ingekuwa rahisi sana kuisambaratisha ccm hata mngeweza kuisajiri mahakamani kuwa kiapo kwa wananchi kama wakiwachagua kuwa hiyo ndiyo itakuwa katiba ya nchi hivyo mazuri ya hiyo katiba ingeiyumbisha ccm na kuifarakanisha na wananchi .. ccm inaoata upenyo kwa sababu nyinyi hamna katiba inayo julikana mtakayo tumia kwa wananchi ...pia ingeondoa kila mwana chadema kuropoka lwake maana kila mmoja ange hubiri hiyo katiba . Mfano kwenye mambo ya uraia katiba yenu ingeweka sawa kuhusu uraia na daraja zake nk CCM INGEPATA TAABU SANA
Haujaelewa Magufuli alifungia watu akaunti ambao ni wafanyabiashara wa kawaida. Kuna watu wana viwanda na mahoteli. Kuna watu wanafanya biashara pasipo kufanya kazi na serikali. Unaowaona matajiri wakubwa wa nchi hii hawaumizi vichwa. Hao matajiri wakubwa wamebebwa na serikali hadi na serikali ya Magufuli. Ninajua watu wambao wamepambana toka miaka hio mpaka wakatoboa. Kuna watu walianza na udereva taksi mpaka kumiliki biashara kubwa. (Marehem Melau Mrema na Willy Chambulo)JPM aliweka nguvu Sehemu ambayo sio. Aliwafungia watu akaunti zao na kuchota hela kibabe. Baada ya kuona hakuna hela ikabidi amfungulie kaka yake Rostam kesi ya ujangilj ili Rostam aje. Baada ya Rostam kufungua Taifa gas na kuanza kuuza gas Kenya,Uganda na Rwanda angalau akapata ahueni. Alivyofariki wafanyabaishara walipata ahueni. angalau.
Hauwezi kuzuia ubepari mtu anapambania familia yake na watoto wake akifanikiwa unataka awe sawa na mtu mjinga na mvivu wa kufikiri.
Part 1 mdogo wake Rostam anafunguliwa kesi ya ujangili
View: https://youtu.be/vl8EpKNeIoc
View attachment 3317331
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 31.10.2018
Part 2: Mdogo wake na Rostam aachiliwa kwa kulipa faini
View: https://youtu.be/1zOhcsecoVo
View attachment 3317332
Part 3 Rostam anarudi nchini na kumpeleka lowassa Lumumba
View: https://youtu.be/nUXToHSW0eQ
View attachment 3317333
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 01.03.2019
Part4:Rostam bega kwa bega na JPM katika uzinduzi wa Taifa gas
View: https://youtu.be/IGblup4RPhg
View attachment 3317334
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 25.06.2019
Part 5:Baada ya Taifa Gas kufanya kazi vizuri kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu na mzunguko kuwa sawa kidogo.Rostam apewa kiwanda cha ngozi na aahidiwa ubunge wa Morogoro akiamua kugombea
View: https://www.youtube.com/watch?v=Bs18vR_OF4I&t=76s
View attachment 3317335
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 12.02.2021
Halafu naomba ujiongeze JPM alikufa lini ? Je kulikuwa na matatizo makubwa sana mpaka kumuhitaji Rostam ? Na je hayo matitizo yaliiisha kabisa au yalitulizwa kidogo ? Namalizia jiulize hayo matatizo ndio yalipelekea kifo cha JPM ? Unafiki ni kitu kibaya sana.
Sasa kama Magufuli alikuwa Rais wa wanyonge kwa nini alimpa Rostam monopoly ya gas ya Tanzania ndugu yangu ? Na baada ya kuzindua Taifa Gas akampa na kiwanda cha ngozi morogoro. Na akamuahidi kumpigania kampeni za ubunge akiamua kuchukua jimbo la morogoro ? Ndugu yangu enzi za Magufuli haukuwa serikalini na haujui kilichokuwa kinafanyika bora ukae kimya nimeleta na ushahidi. Naomba ulete hoja zako pamoja na ushahidi.Wewe akili zako ndogo sana hao ni mafisadi huyo rostam unaye mtaja umjui magufuli diyo mpumbavu wa kufungia biashara halali ya mtu kumbuka ..kumbuka mpuuzi Tulia alivyo mfanyia figisu sugu wa mbea kuhusu uwekezaji wake wa hotel je JPM alisemaje ...kama akili za chadema zinawaona IPTL ni wafanya biashara basi akili zenu ni duni sana ni kama DPW ...mafisadi na wezi wa kimataifa ujivisha majina mema kufanikisha wizi na ufisadi wao ..jifunze kwa kina mwamposa na mazhekh ubwabwa ...siku akitokea Rais mwenye akili timamu na nyingi lazima hao wafilisiwe mali zao na kufungwa jela ...NA HAPO WAPUMBAVU MTAMWITA HUYO RAIS DICTATOR KUMBE NI MPIGANIA HAKI .
Hayatekelezeki kwa wenye AKILI NDOGO TATIZO UMELISEMA MWENYEWE SASA NI AKILI .... SHUJAA AITWI SHUJAA KWA KUFANYA MAMBO MEPESI BALI YALE YALIYO HONEKANA HAYATEKELEZEK8 NDIYO MAANA JPM ALIPATA SIFA NA HESHIMA HATA SGR YA UMEME KAMA SIYO UJASIRI WAKE INGEKUWA NDOTO..leo kampeni za chadema kila mtu ana ropoka yake mwingine nita futa bodaboda ni laana ..mwingine nita dhamini boda boda ndiyo maana mmefarakanisha nafsi za wananchi mnakosa nguvu ...UFALME ULIO FARAKANA HAUTA SIMAMAUnacho suggest hapo kwenye bold kina ladha nzuri lakini hakitekelezeki.
Sija soma ulicho andika maana inaonekana ujui magufuli alisema nini kuhusu gesi ...aliye mpa Rostam momopoli siyo JPM rudi miaka ya 1995 kuja juu mzozo wa mzee mengi na genge la kifisadi la bwana rostam azizi ....Rostam azizi alifanya vikao vya siri na kundi lake na vibaraka wa ccm kuakikisha hakuna mkristo na mbantu kwenye biashara ya machimbo ya gesi maana mzee mengi naye aliomba vitaru vya kuchimba gesi ...bwana azizi akitumia rushwa na ufisadi wa kufa mtu ndani ya ccm na serikalini ndipo ikatangazwa bungeni kuwa mengi ni masikini hana uwezo wa kuwa mdau wa gesi ...unajua kwanini gesi yote tz ipo mikononi mwa watu wenye ajenda moja lengo ni kufanikisha wizi na ufisadi wa kumkamua mwananchi kwa kumpiga bei kubwa ...au tazama bei za simu baada ya jpm kufa na Rostam azizi kujiingiza je huoni kuwa bei za simu zipo nje ya ushindani zimepangwa fixed lengo ni kumkamua mwananchi .Sasa kama Magufuli alikuwa Rais wa wanyonge kwa nini alimpa Rostam monopoly ya gas ya Tanzania ndugu yangu ? Na baada ya kuzindua Taifa Gas akampa na kiwanda cha ngozi morogoro. Na akamuahidi kumpigania kampeni za ubunge akiamua kuchukua jimbo la morogoro ? Ndugu yangu enzi za Magufuli haukuwa serikalini na haujui kilichokuwa kinafanyika bora ukae kimya nimeleta na ushahidi. Naomba ulete hoja zako pamoja na ushahidi.
Na kama unampenda magufuli unaachaje kumpenda mama ? Maana mama anarefer kwa Magufuli. Magufuli ndiye rais wa kwanza kumpa ndugu(binamu yake Biteko) uwaziri mama akaendeleza kazi na kumpa Mchengerwa(mkwe wake) uwaziri. Magufuli ndiye Rais wa kwanza kuwajaza watu wa asili yake serikalini (watu wa kanda ya ziwa) mama akaendeleza kazi amejaza wazanzibari serikalini. Magufuli ndiye Rais wa kwanza kupendelea alikozaliwa (Chato) mama akaendeleza kazi na kupendelea Zanzibari.
Hivi vitu vitaendelea hadi kwa miaka 100 ijayo tusipokuwa makini. Magufuli alifanya watu wengi wenye uwezo wa kuwa marais watamani kuwa Rais. Yeye ndiye aliyweonesha kuwa ukiwa rais unaweza kufanya lolote na chochote. Tukiendelea na hii katiba awamu mbili zijazo tutakuwa kama Congo au zaidi ya Congo.
Sasa ndugu yangu kama rostam fisadi alipewa hadi support ya kugombea ubunge ? Akapewa kiwanda cha ngozi morogoro ? Huoni unatetea ujinga ndugu yangu. Serikali iikuwa haina hela kipindi hiko mpaka Rostam akaja na kuipatia serikali ahueni. Hata kabla hajafariki Magu aligundua wanafiki walikuwa wengi. Mtu anakaza halafu anaruhusu ndugu zake waibe unategemea nini ? Na hao wasukuma wakiiba wanaishia kuongeza wake na kununua magari na siyo kuanzisha biashara. Kuna yule Kigangwala aliiba mabilioni na biashara aliyoanzisha ni ya mazao. Sasa mtu anaiba badala ya kufungua biashara na kuongezea mzunguko wa fedha anaongeza mke na magari ya kifahari.Sija soma ulicho andika maana inaonekana ujui magufuli alisema nini kuhusu gesi ...aliye mpa Rostam momopoli siyo JPM rudi miaka ya 1995 kuja juu mzozo wa mzee mengi na genge la kifisadi la bwana rostam azizi ....Rostam azizi alifanya vikao vya siri na kunfi lake na vibaraka wa ccm kuakikisha hskuna mkristo na mbantu kwenye biashara ya machimbo ya gesi maana mzee mengi naye aliomba vitaru vya kuchimba gesi ...bwana azizi qkitumia rushwa na ufisadi wa kufa mtu ndani ya ccm na serikalini ndipo ikatangazwa bungeni kuwa mengi ni masik8ni hana uwezo wa kuwa mdau wa gesi ...unajua kwanini gesi yote tz ipo mikononi mwa watu wenye ajenda moja lengo ni kufanikisha wizi na ufisadi wa kumkamua mwananchi kw kumpiga bei kubwa ...au tazama bei za simu baada ya jpm kufa na Rostam azizi kujiingiza je huoni kuwa bei za simu zipo nje ya ushindani zimepangwa fixed lengo ni kumkamua mwananchi .
Mada hapa ni Gambo, Magufuli kuendelea kumtaja kwa dhihaka namna hiyo wakati alikuwa ni kiongozi mzalendo na mpenda haki ni kujitukanisha mwenyewe.Jikite kwenye mada
Uongo hautakusaidia chochote, Unataka tukuwekee hapa waliouawa wakati wa Jiwe, unadhani hawana ndugu wale au unataka kusema ni Wanyama waleMada hapa ni Gambo, Magufuli kuendelea kumtaja kwa dhihaka namna hiyo wakati alikuwa ni kiongozi mzalendo na mpenda haki ni kujitukanisha mwenyewe.
Kelele za kumlaani Magufuli sisi huziweka kwa kundi la watu waliokuwa na makando kando katika jamii enzi za utawala wake, je na wewe upo kundi hilo?
Kosoa unavyoweza lakini kumwingiza Magufuli wakati ukijua kabisa kuwa alipendwa na watu wengi, kasoro kidogo kwa kundi la wabaya ni kujidhalilisha mwenyewe na kutukana WaTz waliomwamini na kumpenda.
JanjaweedGambo
Sabaya
Bashite
Walitamba mno
Alikuwa dictator katili muuaji na mpoteza watu sasa anatesema motoniMada hapa ni Gambo, Magufuli kuendelea kumtaja kwa dhihaka namna hiyo wakati alikuwa ni kiongozi mzalendo na mpenda haki ni kujitukanisha mwenyewe.
Kelele za kumlaani Magufuli sisi huziweka kwa kundi la watu waliokuwa na makando kando katika jamii enzi za utawala wake, je na wewe upo kundi hilo?
Kosoa unavyoweza lakini kumwingiza Magufuli wakati ukijua kabisa kuwa alipendwa na watu wengi, kasoro kidogo kwa kundi la wabaya ni kujidhalilisha mwenyewe na kutukana WaTz waliomwamini na kumpenda.
Hii clip iko wapi siioni tena? Mayor vs Mrisho Gomba!!Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.