PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hayo masiasa yako kama yamekuvuruga sana basi ni vyema ukaachana nayo au ukapumzika.
Kama unafanya siasa basi pambana na Hawa ambao wapo hai na uovu wao ambao umeshamiri sasa,

Nimeandika hivyo sababu unapomwita JPM shetani basi unatakiwa ujue Kuna wengine hatumchukulii JPM kwa mtazamo wa kisiasa bali tunamchukulia kama ni mmoja kati ya viongozi walioleta mapinduzi ya fikra kwa watanzania katika namna nzuri ya usimamizi wa rasilimali, uzalendo, maendeleo n.k

Hivyo hata kama tunaipenda Chadema hatuwezi kuunga mkono unapotoa maneno ya laana na kejeli kwa hayati JPM.
Fanya siasa zako na pambana na hao wanasiasa waliopo sasa ambao mnaweza mkajibishana na wewe kuliko kutoa kejeli, dharau, matusi n.k kwa mtu asieweza kujitetea.

Ukiendelea na hizo kejeli kwa hayati JPM tafsiri yake ni kwamba wewe ni muoga, hauna hoja , mnafiki, una upeo mdogo wa akili n.k
Jpm pamoja na mapungufu yake alikuwa kiongozi mwanamapinduzi, watu kama yeye hawazaliwi kila mara, i admired him, rest easy kamaradi Jpm.
 
Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijiatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Mkuu hii kama ni pepa unakula mkasi mbele unaandikiwa nje ya mada.
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Kwani Lema yeye Karma si ipo mbioni?

Uzuri taarifa za Kanda zipo mezani

Mwijaku/ Baba Levo

Code 001

Alafu sikia ukuona Mbowe anadhalilika kama alivyozea kudhalilisha watu walikua wanampiga au kutaka kuchukua nae fomu??
 
Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijiatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Huyo alikuwa mwizi kama majizi mengine, CAG aliposema ukweli juu yake akamwondoa kwa lazima.
 
Hayo masiasa yako kama yamekuvuruga sana basi ni vyema ukaachana nayo au ukapumzika.
Kama unafanya siasa basi pambana na Hawa ambao wapo hai na uovu wao ambao umeshamiri sasa,

Nimeandika hivyo sababu unapomwita JPM shetani basi unatakiwa ujue Kuna wengine hatumchukulii JPM kwa mtazamo wa kisiasa bali tunamchukulia kama ni mmoja kati ya viongozi walioleta mapinduzi ya fikra kwa watanzania katika namna nzuri ya usimamizi wa rasilimali, uzalendo, maendeleo n.k

Hivyo hata kama tunaipenda Chadema hatuwezi kuunga mkono unapotoa maneno ya laana na kejeli kwa hayati JPM.
Fanya siasa zako na pambana na hao wanasiasa waliopo sasa ambao mnaweza mkajibishana na wewe kuliko kutoa kejeli, dharau, matusi n.k kwa mtu asieweza kujitetea.

Ukiendelea na hizo kejeli kwa hayati JPM tafsiri yake ni kwamba wewe ni muoga, hauna hoja , mnafiki, una upeo mdogo wa akili n.k
Mara zote siandiki JF ili kufurahisha Wajinga, huwa naandika ukweli
 
Kwani Lema yeye Karma si ipo mbioni?

Uzuri taarifa za Kanda zipo mezani

Mwijaku/ Baba Levo

Code 001

Alafu sikia ukuona Mbowe anadhalilika kama alivyozea kudhalilisha watu walikua wanampiga au kutaka kuchukua nae fomu??
Mmepanga lini kumuua Lema?
 
Hayo masiasa yako kama yamekuvuruga sana basi ni vyema ukaachana nayo au ukapumzika.
Kama unafanya siasa basi pambana na Hawa ambao wapo hai na uovu wao ambao umeshamiri sasa,

Nimeandika hivyo sababu unapomwita JPM shetani basi unatakiwa ujue Kuna wengine hatumchukulii JPM kwa mtazamo wa kisiasa bali tunamchukulia kama ni mmoja kati ya viongozi walioleta mapinduzi ya fikra kwa watanzania katika namna nzuri ya usimamizi wa rasilimali, uzalendo, maendeleo n.k

Hivyo hata kama tunaipenda Chadema hatuwezi kuunga mkono unapotoa maneno ya laana na kejeli kwa hayati JPM.
Fanya siasa zako na pambana na hao wanasiasa waliopo sasa ambao mnaweza mkajibishana na wewe kuliko kutoa kejeli, dharau, matusi n.k kwa mtu asieweza kujitetea.

Ukiendelea na hizo kejeli kwa hayati JPM tafsiri yake ni kwamba wewe ni muoga, hauna hoja , mnafiki, una upeo mdogo wa akili n.k
Kumuita Jiwe Hayati ni kukosa heshima kwa hicho cheo. Mzalendo aliyeulizwa zilipo 1.5 tr na CAG akakosa majibu na akaamua kumtoa kazini ili swala hilo liishe, kivuko feki alichonunua akaamua kuwapa jeshini ili mtu yeyote asikiongelee maana ni mali ya jeshi ndiye unamwona mzalendo na kumuita Hayati!!! Kweli hii nchi ina watu wa ajabu sana
 
JPM huyu huyu aliyelamba matapishi na kumrudisha Rostam kwa kumfungulia kesi kaka yake na kumpa monopoly ya gesi Tanzania. JPM alikuwa rais wa wajinga ambao hawajui kuchanganua mambo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=SAslFOG8hIA&pp=ygUUUm9zdGFtIHRhaWZhIGdhcyBqcG0%3D
Na kwa sasa binti yake ameshanunuliwa kwa ajili ya kumsaidia mama katika kampeni za mwaka huu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=zxnRBL0V3UI&pp=ygUaamFuZXQgbWFndWZ1bGkgbWlsbGFyZCBheW8%3D
 
Jpm pamoja na mapungufu yake alikuwa kiongozi mwanamapinduzi, watu kama yeye hawazaliwi kila mara, i admired him, rest easy kamaradi Jpm.
Kuna kivuko kibovu alikinunua na baada ya watu kuanza kufatilia akakigawa jeshini na kutishia kuwa yeyote atakayefatilia hilo swala ajue anafatilia kifaa cha jeshi. Je kengo lake likikuwa kuficha nini?
 
Kumuita Jiwe Hayati ni kukosa heshima kwa hicho cheo. Mzalendo aliyeulizwa zilipo 1.5 tr na CAG akakosa majibu na akaamua kumtoa kazini ili swala hilo liishe, kivuko feki alichonunua akaamua kuwapa jeshini ili mtu yeyote asikiongelee maana ni mali ya jeshi ndiye unamwona mzalendo na kumuita Hayati!!! Kweli hii nchi ina watu wa ajabu sana
Yaliokotwa mabilion ya hela chumbani kwake
 
Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijiatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Baeleze bajue
 
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)

Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.

Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.

Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.

Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.

Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
CCM wanawafanyia sinema na nyie mnaingia kwenye 18 zao, yaani hizi ndio Sinema hadi mwisho wa Dunia, mtakaa kujadili sinema hadi mwisho wa hii Dunia.

Hizo ni sinema tu, hao wote ni wajinga na wapuuzi na wote hao ni CCM wanafanyisha move.
 
Huyo Lena ame kuwa nabii wa Mungu toka lini, au ni kuji pamba uonekane perfect?
Nabii hupimwa kwa unabii wake kutimia,alitoa unabii kwa dhali Magufuli kuwa asipoacha udhali Mungu atakula kichwa na kweli ikawa hivyo,alitoa unabii kwa yule andunje aliyekuwa Spika kuwa asipoacha ubabe wake wa kishamba ataanguka na kweli Samia alikula kichwa,bado una mashaka na unabii wa Lemma?
 
Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijiatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Mbona na wewe ni mpumbavu kabisa, andiko lako hili linakuchora kama mtu juha kabisa
 
Nabii hupimwa kwa unabii wake kutimia,alitoa unabii kwa dhali Magufuli kuwa asipoacha udhali Mungu atakula kichwa na kweli ikawa hivyo,alitoa unabii kwa yule andunje aliyekuwa Spika kuwa asipoacha ubabe wake wa kishamba ataanguka na kweli Samia alikula kichwa,bado una mashaka na unabii wa Lemma?
Huo sio unabii msi tudanganye mzee
 
Back
Top Bottom