balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,469
- 12,590
Foe udsmWawapi huyu CAWM nini
Foe udsmWawapi huyu CAWM nini
Mtefu is late na sijui Nipashe yupo wapiFafanua Simwaba yupo Hai au napenda kujua hilo kama yupo nimtafute tafadhari, Gwimile na Mtefu na Madam Mkenya
Kwa hio simwaba yupo?Mtefu is late na sijui Nipashe yupo wapi
Kwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅 eti anaandika huku anafuta ubao..sasa mlikua mnaandika nini?Kwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....
Sent using Jamii Forums mobile app
SifahamuKwa hio simwaba yupo?
alinifundisha ...sema hakunifndishia SUADr Churi pale SUA alikua Infomat/Comp center
Prof. MihanjoJamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri katika kutoa mashule na hata walivyo fair katika kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha juu kabisa cha cha elimu ulichofikia!
Tafadhari bandugu, muelezee kidogo kivipi alikufurahisha ili kama atajua basi atiwe moyo na hayo afanyayo! Kumbuka tukitaka kuwananga huwa walimu wetu kwa ubaya huwa hatuishii kutaja majina tu bali tunaelezea kwa kirefu hata kujaza gazeti. Leo eleza hata kwa mstari mmoja tu kumjurisha alivyougusa moyo wako!
Niishie hapo
Hahahaha mzee ana mitusi yule utazan kijana wa 1990's
Mr Mashiku - Saut mwanza sijaona mpinzani wake. Mungu azidi kumuhifadhiJamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.