Prof Severin Rugumamu alikuwa anafundisha DS specifically Globalization and Development....Kumbe Prof. Rugumamu ndio maana ni best wa Prof. Ngware, naye alikuwa na misemo hiyo hiyo kuwa ukiona gari langu Manzese piga simu polisi
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah namkumbuka huyu mzeee wa development studiesProf.Ngwale hahaaaa ..alikuwa akisema
wakilala kitandani na make wake zinalala degree saba
Heheee ma prof wa kihaya wanambwembwe kuna prof kazahura muhas prof wa biostatistics anakwambia yeye hua hajiungi vocha hua anapiga na kuingia internet..na mwisho wa mwezi mtandao unamletea bili ya kiasi alichotumia..anawalipa kwa dola..pia anakwambia hafanyi consultancy ambayo hailipi kwa USD.Prof Severin Rugumamu alikuwa anafundisha DS specifically Globalization and Development....
Alikuwa anatumbia...." Hasomi magazeti uchwara ya Daily News, Majira, Mwananchi na mengineyo anasema amesubscribe New York Times...analipata kila wiki"
Pia KLM walipa card ya frequent flyer kwasababu alikuwa mteja wao mkubwa
Fafanua Simwaba yupo Hai au napenda kujua hilo kama yupo nimtafute tafadhari, Gwimile na Mtefu na Madam MkenyaProff Juan Mwaikusa, Dr Mvungi mlinifunza mambo ya msingi sana, kitu kimoja cha msingi mlinifunza petience, Mungu awarehemu,sijamsahau mwl Simwaba na Mtefu waalimu wangu wa sekondari mkae pema,
sorry na Mwalimu Maufi wa shule ya msingi sijakusahau ukae pema peponi...
Sorry mleta mada umelenga wahadhiri but....
wengine we are so touched na waalimu waliotujengea misingi....
kabla ya kufika vyuo...
see you in the next life
Professor wa madem nadhani kachanjia ukibisha mtafute na umfatilie na anaosifa dunia ina volcano za aina zoteMr Christopher makindi NYARUBA mzeee wa organization behavior (OB) MZUMBE main campus huyu jamaa ni fundii sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua hawa magwiji walikufa kweli au unazingua?Elibariki Mtefu.... daaah! kule Simwaba,R.I.P
Huyo Dr. Kondo wa wapDr. Jaha Mulema na Dr. Kondo.
Mbona umeambiwa uongee in a positive way mkuu,kulikon tena dhihaka ??Dr wa jalalani, akiwa anapiga lecture class lazima wale wa mbele yake wawe na leso maana si kwa mate Yale.
Ngware alinifundisha DS first year.. yale matambo sio mchezo.. Rugumamu nlikuwa naskia story zakeKumbe Prof. Rugumamu ndio maana ni best wa Prof. Ngware, naye alikuwa na misemo hiyo hiyo kuwa ukiona gari langu Manzese piga simu polisi
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anajiita MborofileMbwembwe zake na anavotaja jina lake! Demography imelala
Hata mimi Amani kqnifundisha hiyo hiyo consumer choice anajua sana.Prof. Haidari Amani
Huyu amenifundisha Consumer Behavior mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Dar es Salaam ktk Introductory Microeconomic Analysis EC 116. Alikuwa fundi sana na alinifanya niupende sana uchumi. Hii course walikuwa wanafundisha na aliyekuwa naibu gavana benki kuu Dr. Natu Mwamba pamoja aliyekuwa msajili wa hazina Dr. Oswald Mashindano, hawa walikuwa wabovu wote. 😃
Prof. Delphin Gayata Rwegasira
Mtaalamu huyu na mhitimu wa chuo kikuu cha Harvard (A.M, PhD Economics, 1971-1976) amenifundisha Monetary Economics EC 371 na Policy Analysis EC 664, Alikuwa anafundisha kwa hisia sana na ana ujuzi mkubwa sana wa sera za fedha, pia alikuwa msimamizi wa andiko langu kipindi namaliza chuo.
Hawa kwa sasa wote wamestaafu ila ni waalimu niliowapenda sana walikuwa very smart kichwani, mmoja ni jirani yangu huwa tunakutana mara moja moja kupiga story.
Wewe umesoma ile college ya uwanja wa Taifa