Nime edit mkuu na kutoa sababu zangu,nisome tena hiyo comment #18Sababu za kuchagua ni nini?
No 4 itapendeza I won't die foreverHalafu toa sababu za chaguo lakoView attachment 1962452
Ila kufa lazm mkuuThose two are the ultimate choices.
Ukishakuwa na hela yakutosha na afya haitetereki hayo 'mengine yote' unaweza kuyafanya.
5&6 nikipata, hata nyingi ya vilivyobaki ntavichangamkia mwenyewe! 🤣 🤣 🤣Halafu toa sababu za chaguo lakoView attachment 1962452
Sure lakini kama huugui kwa ugonjwa wowote it means tayari umesha cheat death angalau half way, na una uwezekano wa kuishi miaka mingi.Ila kufa lazm mkuu
Namba 9. The reason is simple! I can do/ I can get the rest without the need of help of pillsHalafu toa sababu za chaguo lakoView attachment 1962452
Bora fala asikugonge na gari lake akiwa mlevi tu! 🤣 🤣 🤣 🤣Sure lakini kama huugui kwa ugonjwa wowote it means tayari umesha cheat death angalau half way, na una uwezekano wa kuishi miaka mingi.
You go back in time, upatane na Hitler, akuchape risasi, cycle ndio ishaisha ivyo! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣No 4 itapendeza I won't die forever
Ila namba 8 itakufanya uwe bonge mno japo utakuwa salama[emoji3]