Hebu Jichagulie vidonge viwili hapo

Hebu Jichagulie vidonge viwili hapo

😂😂😂😂😂😂😂😂 hapana Mkuu halafu Mimi na mazoezi ni ndugu baba mmoja mama mmoja na tunapendana sana 😎

Si utakuwa unakula sana,ila kama ni mtu wa mazoezi hapo sawa
 
5 na 9 ndio mpango mzima...

Hiyo 9 ni kwa ajili ya kumrudisha mjomba Magu 🤭🤭🤭😎😎
 
Hapa sijakuelewa kwamba namba 9 itakufanya upate vingine vyote au vipi?
Hapana. Hayo mengine naweza kuyapata hata sasa bila kuhitaji msaada wa vidonge vilivyotajwa hapo, isipokuwa ukikosa kidonge chenye kukuwezesha kuyapata yaliyotajwa kwenye namba 9, hamna namna nyingine ya kawaida unayoweza kuyapata tena isipokuwa kwa muujiza wa Mungu. Hayo mengine isipokuwa namba 9, naweza kuyapata hata bila kuhitaji muujiza wa Mungu
 
2,4

nadhani nitakuwa nimemaliza kila kitu hapo.
 
Hapana. Hayo mengine naweza kuyapata hata sasa bila kuhitaji msaada wa vidonge vilivyotajwa hapo, isipokuwa ukikosa kidonge chenye kukuwezesha kuyapata yaliyotajwa kwenye namba 9, hamna namna nyingine ya kawaida unayoweza kuyapata tena isipokuwa kwa muujiza wa Mungu. Hayo mengine isipokuwa namba 9, naweza kuyapata hata bila kuhitaji muujiza wa Mungu
Ok
 
Back
Top Bottom