Vato
JF-Expert Member
- Feb 15, 2009
- 249
- 141
kwani kuna tofauti gani hapo?
Kwahyo huoni tofauti iliyopo au ni katika ku prove ubishi wako..matamshi ya hizo aina mbili za uandishi ni tofauti kabisa..ni kama kuandika
1. Mimina wewe, na
2. Mimi na wewe.
They r tremendous two different statements kimatamshi na ni dhahr hata kiuandishi pia.