HE saved me,HE gave me the second chance!

Hiyo ni hiace au noah.?? Mhanga amesema ni noah

Heri wewe umeweza kutambua hilo ni aina gani ya gari!

Mimi sikujua hadi niliposoma huko Global Publishers kuwa ni Noah. Naona mlangu wa Boot uko wazi nadhani na mkuu Jaguar ndo alipotokea hapo!!!
 
Last edited by a moderator:


:frusty::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::shocked::faint2::tape:

To GOD be the GLORY!

Kweli Mungu anakusudi na we we. Ajari kama hii MTU unatoka mzima?
 
rafiki hapo kwenye blue ebu elezea kiundani zaidi maana nimevutiwa napo: ila njia za MUNGU hazichunguziki na hazielezeki
 
Eh maisha haya jamn,tht day is my birthday,..pole sana Jaguar
 
Mungu ni Mwema

Ahadi zake ni za milele mno,cha msingi
mrejee Mungu nenda kanisani kwako kashukuru kwa hili alilokutendea maana
kwa macho ya nyama ukitazama hiyo
Noah huwezipata picha kuwa kuna walionusurika kamwe.

Halelleya Mshukuruni Mungu kwenye kusanyiko la kweli x 2
Na Malaika waungana nasi takatifu jina la Bwana x 2
 
Shukrani kwenu nyote wapendwa,mimi nipo mzima,sijakatika hata unywele wala sina kovu lolote,ila kuna Damu ilivujia kwa ubongo nadhani huenda niligongana na mtu au nilijigonga sehemu.Nilienda pale regency dar kupiga CT scan na nikapewa matibabu mazuri sasa nipo okay!
 
To god be the glory - hili ni tendo kubwa sana kwako ni jambo la kutoa zaka ya kushukuru

Amen
 
In god we trust, he saves u!!! Tunamshukuru mungu kwa hilo.
 
Mungu mkubwa na hakuna linalokuwa ila kwa mapenzi yake.
Pole.
 
Hii ndo ilikuwa siti yangu hapo kushoto kama inavyoonekana pichani,nilitokaje?mimi sijui bali nilihadithiwa na mashuhuda waliokuwa noah ya nyuma!
 
Pole na Hongera, jitie nguvu kwa bwana,hii ni nafasi ya pekee kwa wewe kujihoji na kubadilika.
 
Mmmh!!!!! kweli God is good all the time, tengeneza njia zako na Mungu naamini ana makusudi na wewe.
 
asee ni jambo la ajabu sana ila huwezi jua mungu ana mpango gani na wewe mshukuru sana asee
 
sina lkusema Jaguar ila namshukuru Mungu kwa ajili yako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…