HE saved me,HE gave me the second chance!


Yesu nae alisema 'na kondoo wengine ninao, nao si wa zizi hili...' unaelewa maana yake?
 
Jaguar pole sana kwa masahibu yaliyokukuta. Hakika Mungu ni mwema.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ana makusudi na wewe Jaguar
 
Last edited by a moderator:
mungu ni mwema na ana makusudi na wewe acha njia zako mbaya na umtumikie kikimilifu
 
Kaka ni watu wachache sana upata chance hizo so kama umepata mshukuru Mungu kwa kila kitu na mtangulize yeye na umuweke katika kila jambo
 
mshukuru mungu kwa aliyokufanyia.mungu anakusudio kubwa sana na wewe.ilikuwa nilazima ajali hiyo itokee iliumkumbuke mola wako.labda ulikuwa unaelekea kubaya akaone akuludishe kwake kwa njia hiyo.tubu makosa yako na umludie mungu wako.maana alisema hutakufa bali utaishi nawe utayasimulia matendo yake ya ajabu.
 


:frusty::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::shocked::faint2::tape:

To GOD be the GLORY!

Hiyo ni hiace au noah.?? Mhanga amesema ni noah
 
Pole sana! mungu ni mwema daima, endelea kumtukuza kwa mambo makuu aliyokutendea
 
Pole sana Mkuu Jaguar Mungu ni mwema siku zote....

Utambue tu kwamba kuna Makusudi Mungu anayo juu yako, ni wakati wa kumrudishia Sifa, heshima na utukufu...vyote ni vyake
 
Yesu nae alisema 'na kondoo wengine ninao, nao si wa zizi hili...' unaelewa maana yake?

"na hao nao imenipasa kuwaleta na sauti yangu wataisikia: Kisha kutakuwako kundi MOJA na mchungaji MMOJA (Yoh.10:16)
 
Huwezi kuamini kama katoka mtu akiwa hai. Mungu mkubwa na tuendelee kumtukuza maisha yet yote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…