Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Hili la wazamiaji sasa naona umeamua kumchimbachimba muanzisha mada 😀 😀 😀Marekani ina kundi kubwa sana la Hopelessly, haswa hawa wazamiaji wanaoenda bila dira yohote wakifika huko maisha huwachakaza vibaya mno,
Kwa hivyo inapotokea fursa kama hii wenye huita ridhiki,chochote anachokutanacho huona kinamfaa