Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,593
- 20,966
nimekupata.vipi umeshiriki maandamano?
Ndiyo mkuu maandamano ya amani ya mahala nilipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekupata.vipi umeshiriki maandamano?
safi mzeeNdiyo mkuu maandamano ya amani ya mahala nilipo.
Ubaguzi ni Tabia ya mtu binafsi tu, haijaandikwa kuwa mtu mweusi anapokamatwa anatakiwa afanywe vile, Ni Tabia binafsi ya Askari ambayo kuidhibiti ni ngumu sanaKwa maoni yangu, tatizo sio kukamatwa kwa wale askari watatu, kinachotakiwa kufanywa ni KUTOKOMEZWA kabisa tabia ya kibaguzi ya vyombo vya usalama vinapo deal na watu weusi na pale inapo deal na watu weupe
Kuwe na usawa, kila mtu ashugulikiwe kwa haki, pale inapobainika / kuhisiwa kuwa kafanya kosa bila ya kujali rangi yake
Kwani unaelewa vipi maana ya nchi kuwa na uchumi mkubwa? Kuwa Kila mwananchi ana maisha Bora?Nimeshangaa sana ...nchi ambayo ndio inaaminika kuwa baba wadunia na mbabe wa uchumi katika kila sekta .. Kumbe ina wananchi wake wenye njaa kiasi kwamba wanaiba mpaka masufuria nepi za watoto
Kweli propaganda sio kitu cha mchezo mchezo
View attachment 1466068
Imebidi wazime taa,,kuashiria hakuna mtu ndani,wote wako handakini
Jana hiyo