Haya si maandamano ya amani, hizi ni vurugu sasa

Wewe jamaa ni zuzu kabisa. Juha kabisa.

1. Ni wapi na lini Trump kawaamrisha polisi wa Minneapolis wawapige risasi hao waleta vurugu?

2. Marekani hakuna central police.

3. Suala la policing Marekani si suala la federal government. Ni suala la local governments.

4. Trump hana mamlaka yoyote yale juu ya polisi wa Marekani. Hana hayo mamlaka.

Naona una kichwa kizito kiasi kwamba unadhani au huelewi kuwa Marekani, Rais wake hana hayo mamlaka.

Yawezekana nabishana na mtu ambaye hajui chochote kuhusu suala la policing lilivyo Marekani, na hajui hata kuwa hajui.

Narudia tena, Rais yeyote yule wa Marekani hana mamlaka hayo.

Umeelewa?

Au unadhani Rais wa Marekani ni kama alivyo Rais wa Tanzania mwenye mamlaka hadi ya kuteua mkuu wa mapolisi na maafisa wengine wa polisi?

Unaweza kuniambia chief of US police ni nani na kateuliwa lini na kateuliwa na nani?
Wewe ndiyo zuzu. The President of the USA is the Commander in Chief wa majeshi yote ya USA. Anachaguliwa na states zote.
 
Wewe ndiyo zuzu. The President of the USA is the Commander in Chief wa majeshi yote ya USA. Anachaguliwa na states zote.
Duh!

Weka source....

Rais wa Marekani hachaguliwi na States zote.

Huna ujualo wewe zuzu.
 
CNN siku hizi imekuwa ya hovyo kabisa. Si ile CNN ya akina Bernard Shaw, Riz Khan, na magwiji wengineo wa tasnia ya habari
Mi nilikuwa nawazimia sana akina Todo Benjamini, Anand Naidoo(sport), Christin Amanpour (huyu mama nilikuwa namuhusudu sana), Riched Quest(mzee wa busines traveller), Becky Anderson kuna yule mzee alikuwa anavaa masuspender
(Kama Rainfred Masako) alikuwa anatangaza kipindi cha hard talk nimemsahau jina nilikuwakaga napata raha sana, siku hizi naangalia Channel 10 tu sina jipya dah
 
hakika nakwakupitia hizi kauli zako nidhahir shahir kabisa kama hao wauaji ndio chanzo cha hizi vurugu kwamaana bilayawao kumdhulumu yule jamaa kwakumuuqa wala yasingetokea haya yanayotokea huko US muda huuTatizo nikwamba tuna angalia hizi vurugu bila yakuangalia chanzo chavurugu nikipi


:-siungi mkono vurugu zinazoendelea US ila naunga mkono watu kudai haki zao nakuna wakati kwakupitia diplomasia haki hua haipatikani mpaka itumike nguvu yaziada ijapokua sio vyema kufanya hv.....
Binafsi naunga mkono hizo vurugu, bila hivo weusi watauawa wengi na hata wasipouawa manyanyaso yatakuwa mengi bora kulianzisha atakayeleta mauaji akae akijua nin kitatokea.
 
Salama mkuu. USA haikufunga mipaka yake ila nchi nyingine nyingi zilifunga so routes nyingi zilisimama, kwa waliokua wanaweza kuja na kutoka walifanya hivyo. Zaidi ya 400k watu kutoka China wameingia USA wakati the so called lockdown inaendelea: 430,000 People Have Traveled From China to U.S. Since Coronavirus Surfaced

Whatever happened to COVID-19? Social distancing?

Where the hell are Drs. Fauci and Birx?

Hahaaaa daah.

Hapa kuna mawili:

Ama baada ya muda kutakuwa na mlipuko mkubwa sana wa COVID-19 au hakutakuwepo na mlipuko kivile.

Either way, tutajua nani alikuwa anatu-BS.
 
Nilijua tuuj utajaa upepo wewe babuu
Upo US halafu una mambo ya kitandale....
Sijawahi kukuona ukiwa na akili
Hujui nilipo. Usijifanye kujua.

🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿
 
Wewe Kukuuu, unajitia kujua mambo ya US kumbe hamna kituu, na kuna mijitu humu inakuona kweli nondo, Ukipingwa tuu Unakua mbongo....
Sasa leo kaa chonjo..
Maana unajaa upepo haraka, nataka upasuke.

Naona unanifuatilia sana.

Si ajabu uliniota usiku 🤣.

Sikujui hunijui lakini unanifuatlia.

I never knew you existed until now.

But I’m smiling knowing that I take up space in your head.

My ‘Ignore List’ just got a new member.

🖕🏿
 
Naona unanifuatilia sana.

Si ajabu uliniota usiku .

Sikujui hunijui lakini unanifuatlia.

I never knew you existed until now.

But I’m smiling knowing that I take up space in your head.

My ‘Ignore List’ just got a new member.

Eheeeeee hapa ndip natakaaa,
Sasa uki nii ignore wewe Nyani Ngabu napungukiwa nini?

Napendaga sana Watu wano panic na kutukana,
Ni ignore mapema, maana nakuhakikishia sita kuacha mpaka uongee kigiriki leo
 
Naona unanifuatilia sana.

Si ajabu uliniota usiku .

Sikujui hunijui lakini unanifuatlia.

I never knew you existed until now.

But I’m smiling knowing that I take up space in your head.

My ‘Ignore List’ just got a new member.

Haya Madole yako ya kati mbona unayapunguza....

Weka ya kutosha kabisaaa, Mi sijai upepo kwa hayo mzee
We jamaa una stressss
Ukiguswa tuu Hutuliii...
 
Back
Top Bottom