Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Hapo ulipokanyaga yupo pia!

Hamuishi kuzusha, mnachokitafuta ktk nchi hii mtakivuna na watoto wenu! Yaani rais picha hiyo alipiga akiwa nchini Uganda - Kampala sasa mnaikuza kuwa yuko USA? Kweli kizazi cha Lusifa, Ibilisi na shetani hakitaisha!

Andamaneni sasa!
Kama ni Uganda ndiyo asipokelewe na Mwenyeji wake kweli? Mbona TZ wakija tunasumbuliwa na misafara miwili ya Mzee wetu na ya Mwenyeji wake au sisi tunajikomba sana au hatuna kazi ya kufanya ila kupokea wageni tu...
 
Rais wa Marekani akija Tanzania ni lazima tuhangaike sana kumpokea maana tukio hilo hutokea kwa nadra sana, na wananchi mpaka wa kawaida wanakuwa na shauku ya kutaka kumwona kiongozi huyo na pili kumsikia anasema nini.

Kikwete huko Marekani, kwa sasa hawezi kupokelewa na hata watoto wa shule ya msingi maana wakifanya kazi hiyo, kwa mwaka sijui watapoteza vipindi vingapi. Kiongozi gani hutulii nchini kwako ukae na watu wako mpange maendeleo ya Taifa lenu?
 
Huo muda haupo anaendaga hata bila mwaliko Obama kila afanyalo limeratibiwa saaa unadhani ni km jk shughuli zozote anahudhuria iwe ni ngoma .harusi nk
 
haaa! mi nilidhani kapokelewa na mizinga ya kijeshi na wananchi kujipanga barabarani huku ulinzi ukiwa umeimalishwa. kumbe kapokelewa na wabeba box
 
Wadau tusaidiane,hivi kweli sahihi kwa rais kutembelea nchi nyingine na akapokelewa na wananchi wake wanaoishi huko tu?



dc2.jpg

Hiyo suruali ya mkuu vipi huko chini?? Au fundi alipima vibaya??
 
Acheni kupotosha nyie Mburulaz. Hapo Rais Kikwete alikuwa kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na hao anaosalimiana nao ni maafisa ubalozi. Nye mlitaka afuatane na Obama kwenye ubalozi huo?

Sasa Nadhani Wewe Ndiyo Siyo Tu Mburula Bali Ni POPOMA Kwani Watu Tuna Mpaka Picha Zake Na Taarifa Za Alivyopokewa Na Hajapokelewa Na Obama Wa Makamu Wake Bali Kapokelewa Na Maafisa Tu Wa White House Na Tena Hawakumpokea as Such Bali Walipita Tu Kumjulia Hali One Time Kwa Kumuulizia Jinsi Rasilimali Za Tanzania Walivyoweza Kuzichukua Kiulaini Huku Sisi Tukilala Usingizi Kisha Wakamwelekeza Hotel Ya Kufikia, Wakamtakia Usiku Mwema Na Wakajikata Zao! Vipo Vya Kutetea Ila Siyo UPOPOMA Kama Huu Na Umeniboa!
 
Jakaya Night ilifanyikia ukumbi gani?? Na msanii gani alitumbuiza??

Vicky Kamata a.k.a Shemeji Huku Upande Wa Kurap au Kughani Wakiwa Akina HASIRA na UVUVI Bila Kusahau ktk Gitaa La Solo Akiwepo CHEMBA SQUAD na ktk Drums au Mkaanga Chips Mwenyewe Alisimama NAINGIA MSITUNI na ktk Kinanda Akasimama SHE BUDDHA Wakati ktk Gitaa La Bass Alisimama NAPENDA NIUNYE Huku Gitaa La Rhythm Akisimama Mjumbe Wa BMK Aitwae MARCOPAUL MNAKONDA.
 
Kawaulize Wazee Wa Karibu Na Ofisi Za Multichoice Jengo Jipya Linaloonekana Lenye Alama Ya Bawa La Ndege aina Ya Tai.

pilipili ya shamba yakuwashiani? kaambiwa ataje majina, msaidie basi. ni majina na sio maelekezo.
 
Acheni kupotosha nyie Mburulaz. Hapo Rais Kikwete alikuwa kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na hao anaosalimiana nao ni maafisa ubalozi. Nye mlitaka afuatane na Obama kwenye ubalozi huo?

Tupe picha akipokelewa hata na senti 50
 
Back
Top Bottom