FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
Wewe muongo. Juzi nimesoma Temeke wanakatiwa umeme kuanzia saa nne hadi saa nane usiku. Kuna rafiki yangu kawasili pia kutoka Boston kitu cha kwanza anaandika Facebook ni kukatiwa umeme. Huwezi kupamba hali halisi.
Ewe punguani, si kila kukatiwa umeme ni mgao.
Kumbuka hilo usichekwe.