GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,582
- 127,929
Kama unamjua sisi tufanyaje?
Hutujui Wabongo Wa Sifa Za Kijinga? Hapo Ukimuuliza Bibi au Babu Zake Huko KIEMBE NKUMBI Hawajui..................!
Kama unamjua sisi tufanyaje?
Mapunguani ni wengi sana Tanzania. No wonder we are still in dark age.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Ila kuna waliosema eti anaenda mara kwa mara ili ahudhurie hospital. Hapa nakubaliana nao kuwa clinic kila mwezi muhimu!!!!! Sijui atakuwa anasumbuliwa na maradhi gani??? Tunashukuru Mungu hajaanguka tena hadharani siku za karibuni.
Hiyo suruali ya mkuu vipi huko chini?? Au fundi alipima vibaya??
Wamemchoka,ye kila kukicha yupo marekani,hata ham nae hawans
Rais ana mapumziko??
Kusoma Hujui, Kuelewa Huelewi Jamani Hata Picha Nayo Inakushinda Kung'amua Kama Ni UPOPOMA au Hapana?
Kama huna jibu, unanynamaza. Haku sensible person atatumia muda wake kwa jambo lisilomhusu. Sikutaka dialog na watu kama wewe!. Kama hunielewi, pls leave me alone. I dont like your low mindset.
Wewe muongo. Juzi nimesoma Temeke wanakatiwa umeme kuanzia saa nne hadi saa nane usiku. Kuna rafiki yangu kawasili pia kutoka Boston kitu cha kwanza anaandika Facebook ni kukatiwa umeme. Huwezi kupamba hali halisi.Naam, mgao wa umeme ni historia.
Baridi Kali Ulaya!
Acheni kupotosha nyie Mburulaz. Hapo Rais Kikwete alikuwa kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na hao anaosalimiana nao ni maafisa ubalozi. Nye mlitaka afuatane na Obama kwenye ubalozi huo?
JK nyerere alipokwenda Beijing licha ya kwamba alipokelewa na Mao pia barabara za Beijing zilifurika wakazi waliokuwa na shauku ya kumpokea. Mjomba hana ushawishi kimataifa
- dr. Jk ndiye rais anayekubalika na mataifa kuliko wote africa, yaani unashangilia wananchi wasiokuwa na kazi kujipanga kumpoikea rais na huku unaona mukulu anapokelewa na maofisa wakarezzzz please!!
Le mutuz
a.k.a. Vasco dagama
Ukiona hivyo,mkuu wetu wa kaya keshachokwa na mwenyeji wake(Obama). Mana yeye daily anatembelea huko. So,hana jipya kwa Obama.
Kwani raisi hana likizo? Naamini ana haki ya likizo kama mfanyakazi mwingine yeyote. Pamoja na kwamba nimetoa wazo hili, kuna uwezekano mdogo mno kuwa ni kweli kachukua likizo. Nani hapendi kukaa kwenye hoteli ya hadhi ya nyota tano ukilipiwa gharama zote?
hata mimi kama unanitembelea nyumbani kwangu kila siku unafikiri naweza kukuchinjia kuku.