FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,815
Bibie vipi? Matatizo ya umeme yamemalizika? Kikwete aliahidi kufikia December 2007 mgao wa umeme utakuwa historia.
Naam, mgao wa umeme ni historia.
Bibie vipi? Matatizo ya umeme yamemalizika? Kikwete aliahidi kufikia December 2007 mgao wa umeme utakuwa historia.
Of course, kama rais anatumia muda wake mwingi kwenye red carpet badala ya kushughurika kufanya maamuzi na kuelekeza resources katika ujenzi wa Taifa, ni wazi anathibitisha upunguani wetu.
Acheni kupotosha nyie Mburulaz. Hapo Rais Kikwete alikuwa kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na hao anaosalimiana nao ni maafisa ubalozi. Nye mlitaka afuatane na Obama kwenye ubalozi huo?
Sasa Nchi kubwa Kama marekani...kuna Marais wanaenda pale wana appointment UN,IMF,WHO...wengine wana appointment na magavana....wafanyabiashara ....etc na unaambiwa in average kila Siku hadi Marais au vwawakilishi wa mataifa 20 wanapishana ...Kama Rais wa marekani angetakiwa kuwaona wote basi asingefunya kazi nyingine....
So Marais wa Mataifa makubwa huwapokea tu wale wenye mualiko wao Rasmi ....Zaidi Secretary of State ....tena ofisi yake hutuma maafisa wa kawaida kuwapokea na kuwapa ulinzi
Hapa Kwetu au hataa nchi jirani...Rais hupokea hadi Marais wanaosimama kujazia mafuta ndege Zao kwa kuwa Ana muda ...Huo. ..na pia hawapiti kila Siku ...nadra ..so hashindwi ...lakini hata ukienda hapo South Afrika ...Rais wao hawezi kupata courtesy call ...kwenye VIP lounges airports kwa kila Rais anayefanyaa connection flight OR Tambo...unless kuna serious business
Nafikiri hata hapa Kwetu Siku Jumuia ikikua na ikafanya mji Kama Arusha ,Makao Makuu ya jumuia ...Marais na VIONGOZI WAWE wanakuja kila Mara ...Rais wetu hata kuwa na muda wa kwenda kuwaona wote unless kuna issues ..na itabidi ofisi ya mambo ya nje iwe na dawati kwa Mkuu wa Mkoa ...na uwanja wa ndege ...kuratibu mambo Kama hayo
Jifunze kuandika vizuri lugha yetu ya taifa, kama kweli u mzalendo.
nani hao??mbona simwoni obama hapo??kumbe kapokelewa na wabongo wenzake???
Huyu ni Rais wa nchi na ndiye anayesimamia taasisi ya URAIS.Kama yeye na washauri wake wameona ziara ina tija kwa taifa hatuna bdi kukubaliana na kuombea kila la heri ili angalau hiyo tija ionekane.Wadau tusaidiane,hivi kweli sahihi kwa rais kutembelea nchi nyingine na akapokelewa na wananchi wake wanaoishi huko tu?
![]()
Naam, mgao wa umeme ni historia.
Labda kachukua na likizo ya mapumziko?Sidhani kama kuna majukumu yanamuhitaji Rais wetu kukaa Marekani kwa zaidi ya wiki moja.
Hapo ulipokanyaga yupo pia!
Hamuishi kuzusha, mnachokitafuta ktk nchi hii mtakivuna na watoto wenu! Yaani rais picha hiyo alipiga akiwa nchini Uganda - Kampala sasa mnaikuza kuwa yuko USA? Kweli kizazi cha Lusifa, Ibilisi na shetani hakitaisha!
Andamaneni sasa!
Hata mayor wa jimbo hana muda wa kumpokea jk. Kwanza mwenyewe kila siku yupo huko utadhani hana kwake. Unategemea nin??