Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,528
- 287,064
Mkuu, maandamano vipi? Naona unaendeleza mjadala wa kipumbavu huu
Mkuu Lizaboni natambua kwamba bila siasa za ccm na hasa hawa waliopo sasa huwezi kuishi hata kwa miezi miwili ( lazima ufe njaa ) , pamoja na hilo unadhani kinachoendelea bmk ni sahihi ? Maandamano ni lazima .