Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Hizo picha zimechukuliwa kule Michuzi Blog. Nashangaa aliyeweka picha hizo ameshindwa kuandika na maelezo yaliyopo chini ya hizo picha

Sawa hapo ni ubalozini, na hapa napo ni ubalozini? Tuwe na aibu kidogo na yanayoendelea kwetu maana huwezi kuyaona hata kwa Rais wa Comoro.
ImageUploadedByJamiiForums1411204642.727057.jpg
 
Kwani hivyo vifurushi unanunua mwenyewea. Una fedha wewe ya kununua kifurushia. Si unapewa tu na akina Mbowe?

Huo ni ushahidi kuwa Nape anakuhudumia.

Ukitaka nipe bei yako nawe nikununue.

Fanya faster niko benki.
 
Labda kaenda kwenye deal binafsi kiasi kwamba serikali haikuweza kuhusika
 
Jamani inawezekana ni ziara ya kibinafsi!
Ladba kenda kuchek afya, au yuko likizo.... mwachini mzee wetu apumue bana!!
 
Back
Top Bottom