Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Wadau tusaidiane,hivi kweli sahihi kwa rais kutembelea nchi nyingine na akapokelewa na wananchi wake wanaoishi huko tu?

dc2.jpg

Marekani ni Taifa kubwa ambalo kila Siku Marais hadi 20 wa dunia minimum wanakuwa Huko kwa sababu Moja au ile .....,so mataifa Kama haya au pale Brussels ,London ,Dubai ..etc ...at least mataifa yote makubwa ....Rais akipita hapo ...Anatoa tu taarifa ...Balozi wake anampokea akishuhudiwa na junior Protocal officers wa Nchi husika ...na security details mfano marekani wanatoa walinzi wawili ....unless risk assessment inaonyesha kiongozi husika Ana maadui ....mfano Kagame...Ana windwa na wapinzani wa Serikali yake so anaweza kupewa ulinzi mzito kuliko JK

Kwa Rais wa Nchi Kama Tanzanja ambaye Hana tatizo na Watanzania wanaoishi nje ...hatuna wakimbizi wa Moja kwa Moja ambao wanaweza kuandamana au kumrushia Mayai..

Kwenye Nchi zilizoendelea Rais hupewi mapokezi Rasmi Kama tu KAALIKWA ZIARA RASMI..YAANI STATE VISIT...na Mara nyingi hupokewa Rasmi Ikulu husika kwa Gwaride na Protocal zote ...na sio Kama hapa tunafanyia airport na kuhimiza watu kujipanga barabarani...
 
Nashangaa wapuuzi wengi wa chadema wamekimbia kutoa updates za maandamano wanajadili upuuzi huu
 
Kwa utaratibu huu ndio maana kila mwanasiasa anafanya lolote liwalo aweze kuingia ikulu.Wengi kwa sasa udenda unawatoka wanaona jinsi mshua anavyojiachia na kodi zetu.Maskini tanzania tutaendelea kulia hadi twaingia kaburini

Kina Mbowe udenda unawatoka! Ni kweli ujue maana mamtoni kuzuri
 
Acheni kupotosha nyie Mburulaz. Hapo Rais Kikwete alikuwa kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na hao anaosalimiana nao ni maafisa ubalozi. Nye mlitaka afuatane na Obama kwenye ubalozi huo?

Obama hana muda wa kupokea watembezi yeye yuko bize na wananchi wake akishughulikia mambo makubwa yanayoikumba dunia.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hizo picha zimechukuliwa kule Michuzi Blog. Nashangaa aliyeweka picha hizo ameshindwa kuandika na maelezo yaliyopo chini ya hizo picha

Ulitaka andike maelezo afukuzwe kazi? Mara rais wa tanzania akiwa disco huku akiwa kwenye birthday party ya mtoto wa msanii maarufu marekani hapa akipata picha ya kumbukumbu na mwigizaji maarufu marekani ulitaka afanye hvyo kweli!
 
Marekani ni Taifa kubwa ambalo kila Siku Marais hadi 20 wa dunia minimum wanakuwa Huko kwa sababu Moja au ile .....,so mataifa Kama haya au pale Brussels ,London ,Dubai ..etc ...at least mataifa yote makubwa ....Rais akipita hapo ...Anatoa tu taarifa ...Balozi wake anampokea akishuhudiwa na junior Protocal officers wa Nchi husika ...na security details mfano marekani wanatoa walinzi wawili ....unless risk assessment inaonyesha kiongozi husika Ana maadui ....mfano Kagame...Ana windwa na wapinzani wa Serikali yake so anaweza kupewa ulinzi mzito kuliko JK

Kwa Rais wa Nchi Kama Tanzanja ambaye Hana tatizo na Watanzania wanaoishi nje ...hatuna wakimbizi wa Moja kwa Moja ambao wanaweza kuandamana au kumrushia Mayai..

Kwenye Nchi zilizoendelea Rais hupewi mapokezi Rasmi Kama tu KAALIKWA ZIARA RASMI..YAANI STATE VISIT...na Mara nyingi hupokewa Rasmi Ikulu husika kwa Gwaride na Protocal zote ...na sio Kama hapa tunafanyia airport na kuhimiza watu kujipanga barabarani...

Kwa hiyo kama Rais hapewi umuhimu na serikali ya Taifa alilolitembelea, anakuwa amekwenda kufanya nini ambacho ameshindwa kukifanya akiwa nyumbani?
 
Back
Top Bottom