Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

RWAMAIGI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
361
Reaction score
105
Wadau tusaidiane,hivi kweli sahihi kwa rais kutembelea nchi nyingine na akapokelewa na wananchi wake wanaoishi huko tu?



dc2.jpg
 
nani hao??mbona simwoni obama hapo??kumbe kapokelewa na wabongo wenzake???
 
Itabidi kuwe na utaratibu wa MH. kuomba visa pale ubalozini. Maana kila kukicha yupo unyamwezini anakula maisha tuu wakati wabongo tunateseka njaa kali
 
Obama anashughuli nyingo hawezi kuwa kila mwezi anampokea kikwete huko usa.
Hizo picha zimechukuliwa kule Michuzi Blog. Nashangaa aliyeweka picha hizo ameshindwa kuandika na maelezo yaliyopo chini ya hizo picha
 
Maandamano vipi?

Yapo pale pale.....sio lazima tuandamane kimwili hata kiroho tunaandamana tu....mwigulu sana police na mahakama mbinguni bs atume police waje kutushushia kipigo kitakatifu ndani ya roho zetu
 
Back
Top Bottom