Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa full black mbona amefanana na William LUKUVI? Wana undugu?

Hahahahahahaha,kweli aisee wamefanana na Lukuvi kabisa ,ama kweli watu mnajua kuangalia kwa umakini,yaani nimecheka mwenyewe hapa, halafu huyu ni mwanamke.
 
Acheni kupotosha nyie Mburulaz. Hapo Rais Kikwete alikuwa kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na hao anaosalimiana nao ni maafisa ubalozi. Nye mlitaka afuatane na Obama kwenye ubalozi huo?

Mbona hao watu alienda nao huko, kwa kuwa amekosa mapokezi wameamua kujigeuza kuwa wapokezi ili kutudanganya tu.
Kama unaona ni uongo weka picha tuone mapokezi yake na gwaride la jeshi la marekani kama obama alivyopokewa.
 
Sasa Nchi kubwa Kama marekani...kuna Marais wanaenda pale wana appointment UN,IMF,WHO...wengine wana appointment na magavana....wafanyabiashara ....etc na unaambiwa in average kila Siku hadi Marais au vwawakilishi wa mataifa 20 wanapishana ...Kama Rais wa marekani angetakiwa kuwaona wote basi asingefunya kazi nyingine....
So Marais wa Mataifa makubwa huwapokea tu wale wenye mualiko wao Rasmi ....Zaidi Secretary of State ....tena ofisi yake hutuma maafisa wa kawaida kuwapokea na kuwapa ulinzi

Hapa Kwetu au hataa nchi jirani...Rais hupokea hadi Marais wanaosimama kujazia mafuta ndege Zao kwa kuwa Ana muda ...Huo. ..na pia hawapiti kila Siku ...nadra ..so hashindwi ...lakini hata ukienda hapo South Afrika ...Rais wao hawezi kupata courtesy call ...kwenye VIP lounges airports kwa kila Rais anayefanyaa connection flight OR Tambo...unless kuna serious business

Nafikiri hata hapa Kwetu Siku Jumuia ikikua na ikafanya mji Kama Arusha ,Makao Makuu ya jumuia ...Marais na VIONGOZI WAWE wanakuja kila Mara ...Rais wetu hata kuwa na muda wa kwenda kuwaona wote unless kuna issues ..na itabidi ofisi ya mambo ya nje iwe na dawati kwa Mkuu wa Mkoa ...na uwanja wa ndege ...kuratibu mambo Kama hayo

Hakika kwa maelezo uliyoyatoa nimekuelewa,yaani unajibu utasema wewe ni afisa wa itifaki pale ofisini kwa Membe kwa hili nakupa kudos,kwani hata mifano uliyotoa inaendana na ukweli kabisa na inatoa majibu kwa aliyeuliza.
 
basi hamisheni baraza la umoja wa mataifa kutoka makao yake makuu, new york kuja arusha. maana unaandika kama taahira vile.

Baraza la umoja wa mataifa wanakwenda mabalozi maalum, si marais unless .....
 
TAKWIMU KWENYE HOTUBA ZA VIONGOZI ZINAPIKWA KUWAKOMOA AU KUWAKWEZA? ni jambo la kawaida ukisikiliza au kusoma hotuba na kukutana takwimu za uongo dhahili, km rais akiwa marekani na kusema kuna wafanyakazi milioni 20 tanzania, sababu ni ipi? ndugu nijuzeni!
 
Sasa Nchi kubwa Kama marekani...kuna Marais wanaenda pale wana appointment UN,IMF,WHO...wengine wana appointment na magavana....wafanyabiashara ....etc na unaambiwa in average kila Siku hadi Marais au vwawakilishi wa mataifa 20 wanapishana ...Kama Rais wa marekani angetakiwa kuwaona wote basi asingefunya kazi nyingine....
So Marais wa Mataifa makubwa huwapokea tu wale wenye mualiko wao Rasmi ....Zaidi Secretary of State ....tena ofisi yake hutuma maafisa wa kawaida kuwapokea na kuwapa ulinzi

Hapa Kwetu au hataa nchi jirani...Rais hupokea hadi Marais wanaosimama kujazia mafuta ndege Zao kwa kuwa Ana muda ...Huo. ..na pia hawapiti kila Siku ...nadra ..so hashindwi ...lakini hata ukienda hapo South Afrika ...Rais wao hawezi kupata courtesy call ...kwenye VIP lounges airports kwa kila Rais anayefanyaa connection flight OR Tambo...unless kuna serious business

Nafikiri hata hapa Kwetu Siku Jumuia ikikua na ikafanya mji Kama Arusha ,Makao Makuu ya jumuia ...Marais na VIONGOZI WAWE wanakuja kila Mara ...Rais wetu hata kuwa na muda wa kwenda kuwaona wote unless kuna issues ..na itabidi ofisi ya mambo ya nje iwe na dawati kwa Mkuu wa Mkoa ...na uwanja wa ndege ...kuratibu mambo Kama hayo

nimekuelewa sana mkuuuu
 
Mkuu, kama ni hivyo mbona wakati wa maraisi Nyerere, Mwinyi na Mkapa hatukuyaona hayo. Umejitahidi tu mkuu kutetea, na kupongeza kwa hilo, chongo kuiita kengeza.
 
Baba moja mama moja, hakuna ubishi haupo.....Dah! wanafanana mpaka masikio!

attachment.php
 
Back
Top Bottom