Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

We unalipa kodi saa ngapi wakati kila siku upo na keyboars?

Wewe hujioni?!

Hivi nikinunua kifurushi cha muda wa maongezi/net silipi kodi?!

Mi ni mtumishi na kwa hivi sasa vyuo vimefungwa na niko likizo kwahiyo usihofu.

Isitoshe ni mwendo wa smartphone.
 
Hizo picha zimechukuliwa kule Michuzi Blog. Nashangaa aliyeweka picha hizo ameshindwa kuandika na maelezo yaliyopo chini ya hizo picha

Wewe mburula inabidi mjishangae nyie wa Lumumba bk7 kwani huyo mwenye hiyo blog si kibarua wenu huko magambani!!!
 
Wadau tusaidiane,hivi kweli sahihi kwa rais kutembelea nchi nyingine na akapokelewa na wananchi wake wanaoishi huko tu?

dc2.jpg

HATA KATIKA MAISHA ya kawaida MITAANI , HAKUNA ATAKAYEKUBALI KILA WEEK END UMTEMBELEE , WEWE TU , YEYE WALAA ! HATA NDUGU ZAKO WATAKUCHOKA MJOMBA !
 
Unaona IQ yako ilivyokuwa ZERO wewe mburula; kwani wote wanaotumia tekinolojia ya sasa hawalipi kodi?
Kwani wewe ni Salary Slip? Nimemwambia yeye kwa vile najua hana kazi yoyote zaidi ya kujipendekeza kwa akina Mbowe
 
Wewe mburula inabidi mjishangae nyie wa Lumumba bk7 kwani huyo mwenye hiyo blog si kibarua wenu huko magambani!!!
Michuzi kaweka picha hizo na kaeleza bayana kuwa hayo ni Mapokezi ya Rais kwenye Ubalozi wa Tanzania Washington. Nye wengine mmeiweka kwa kupotosha
 
Wewe hujioni?!

Hivi nikinunua kifurushi cha muda wa maongezi/net silipi kodi?!

Mi ni mtumishi na kwa hivi sasa vyuo vimefungwa na niko likizo kwahiyo usihofu.

Isitoshe ni mwendo wa smartphone.
Kwani hivyo vifurushi unanunua mwenyewea. Una fedha wewe ya kununua kifurushia. Si unapewa tu na akina Mbowe?
 
Kwa utaratibu huu ndio maana kila mwanasiasa anafanya lolote liwalo aweze kuingia ikulu.Wengi kwa sasa udenda unawatoka wanaona jinsi mshua anavyojiachia na kodi zetu.Maskini tanzania tutaendelea kulia hadi twaingia kaburini
 
Sioni kama kuna issue yeyote ya kujadili, umekosa cha kuelezea kaa kimya.
 
obama kamchoka msanii wetu kikwete, ugeni wake kila siku umewafanya viongozi wa marekani wamsuse.
 
Hizo picha zimechukuliwa kule Michuzi Blog. Nashangaa aliyeweka picha hizo ameshindwa kuandika na maelezo yaliyopo chini ya hizo picha

Si kweli hizi picha zimechukuliwa CCM blog,yaani mmekosa cha kutuwekea kwaenye ziara yake mpaka mnatuonesha rais alivojipokea mwenyewe,kweli CCM ni hamnazo.SASA TUNAWAKAANGA KWA MAFUTA YENU WENYEWE.
 
Michuzi kaweka picha hizo na kaeleza bayana kuwa hayo ni Mapokezi ya Rais kwenye Ubalozi wa Tanzania Washington. Nye wengine mmeiweka kwa kupotosha

We gamba usipotoshe watu,zipo za hawa hawa kuanzia airport.
 
Yapo pale pale.....sio lazima tuandamane kimwili hata kiroho tunaandamana tu....mwigulu sana police na mahakama mbinguni bs atume police waje kutushushia kipigo kitakatifu ndani ya roho zetu
hii kali tena yaani wewe uko bize kuwashawishi wenzako waende kupigwa virungu na mabomu barabarani wakati huohuo wewe umekaa nyuma ya keyboard?
 
HATA KATIKA MAISHA ya kawaida MITAANI , HAKUNA ATAKAYEKUBALI KILA WEEK END UMTEMBELEE , WEWE TU , YEYE WALAA ! HATA NDUGU ZAKO WATAKUCHOKA MJOMBA !
basi hamisheni baraza la umoja wa mataifa kutoka makao yake makuu, new york kuja arusha. maana unaandika kama taahira vile.
 
Mapunguani ni wengi sana Tanzania. No wonder we are still in dark age.

Vipi dada upo? naona nimekuboa sasa,mwambieni explorer ahache kutumia kodi zetu vibaya,haijawai tokea rais wa nchi akajipokea mwenyewe kwenye nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom