kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #21
Tangu mwaka jana😁Umejua leo hili?😃
Tangu mwaka jana😁Umejua leo hili?😃
Ww binti inaonyesha unateseka sana na mapenzi, pole sana.Life is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi...
Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
Ni mateso mwanzo mwishoAcha tu yaani, mateso hayawezi kuisha kwa staili hii
😆😆😆😆 🍒Shindwa pepo, usininenee vibaya tena
Cc. The IcebreakerNimeambiwa siendani na ile ID nikaona isiwe kesi 🥲
Sio kwa mtumbo huo huyu dada!!
Shida hao hawako romanticWamasai hawacheat amia uko binti
Asante mkuu kwa ushauri mzuri nitaufanyia kaziMkuu,
Usitumie nguvu nyingi kutafuta ndoa. Uliza dada zako, walikata tamaa na sasa wanaishi, wengine wapo late 20s na wanajua ndoa haiji tu so wametulia.
I know it's hard hasa kama unaihitaji ndoa, ila kila kitu kwa wakati wake, ukofosi sana utaangukia put.
😂😂😂😂 eeeeh! Kila la kheriKiukweli mimi nikikupenda ni lazima na wewe utanioenda ila wewe ukinipenda mimi hapo naweza nisikupende..
Kingine mimi napenda mishangazi tuu an now nimeanza kuruka na wajawazito aiseee wana jotrooooo
Ngoja nikae ninyooshe na miguu kabisa nikimsubiri huyo niliyeandaliwa na MunguWakuu
Hii kitu naikataa. Tatizo letu ni kwamba hatuna subira. Mapenzi ya kweli hayafosiwi wala hayana haja ya kutongozana.
Kuna kitu kinaitwa love at first sight ambachi huja kwa wale wenye subira tu. Nashukuru Mungu nime experience tokea niko teenager.
Na sio kwamba sijawahi pata mateso kwenye mapenzi, No ila huko nilikopata tabu asilimia kubwa ni yale niliyotongoza.
Nashauri pia tusome kuhusu makundi ya nyota.Kwanza ujijue wewe ni kundi lioi na lina silika ipi na uijue ya huyo mwenzako hapo mtaendana sana. So unakuta mwanamke ni nyota ya simba afu mwanaume ni nyota ya mbuzi asa hapo unategemea nini? Au wewe nyota yako ni ya asili ya moto afu mwenzio ni nyotq yenye asili ya maji sasa hapo mtafanya lolote kweli?
Mtu wako atakuja tu na hutatumia nguvu yoyote.
Sasa hivi na enjoy tu.
Ndiyo nimehamia huko kwasasaYakikushinda mapenzi jaribu na kilimo.
Hapana siwezi wewe endelea tuWw binti inaonyesha unateseka sana na mapenzi, pole sana.
Kuwa mpiga nyeto kama Mm tuu
Hii ndiyo mara ya mwisho🥲 nimeshakuaWeee hukui? Mpaka leo bado unalilia mapenzi 😁🤌