Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,865
- 103,888
Karibu tujenge mahusianoHapana siwezi wewe endelea tu
Karibu tujenge mahusianoHapana siwezi wewe endelea tu
Kwasasa napumzika kwanzaKaribu tujenge mahusiano
Kumbe unachagua? Kama anakulomba kuliko wapaka mikongo akiwa yupo full natural uromantic unakusaidia nn Kwenye maisha ya kawaidaShida hao hawako romantic
Iko vizurii mkuu Na liko na pesaa hataree mazeee🔥🔥😁tunaenjoy huku mambeleenaona uko na pisi yenye matako nyuma na mbele.
actually i'm in early 19 na sijawahi kuwa member wa huo ulimwengu!!Kwani hujafikisha miaka 18?
Hata angekua na kitambi, ila kwa mwanamke hell noo, hilo sio tumbo ni changamoto nzito nzitoMwanaume kwenye picha ana flat tummy
Mwanamke ana sababu za msingi za kuwa na kitambi kuliko mwanaume 😃Hata angekua na kitambi, ila kwa mwanamke hell noo, hilo sio tumbo ni changamoto nzito nzito
Wewe ni kiboko kabisa🙌Kiukweli mimi nikikupenda ni lazima na wewe utanioenda ila wewe ukinipenda mimi hapo naweza nisikupende..
Kingine mimi napenda mishangazi tuu an now nimeanza kuruka na wajawazito aiseee wana jotrooooo
“For every action, there is an equal and opposite reaction.”
Mambo akini😂😂😂😂 eeeeh! Kila la kheri
Mkuu naomba nikuulize kitu hapo kupitia hyo hyo third law of motion 😂😂😂😂😂 mfano ukapiga ngumi ukuta hiyo tunasema nini action equal to reaction or whatNewton’s Third Law of Motion states:
- wewe unaapply force kwenda kwa mtu ambaye hakuna equal “reaction” (reciprocation).
- Kwenye physics tunasema forces isipobalance utakiona cha mtema kuni lazima maji uite mma kama sio Leo basi ipo siku yaja lazima kikukute kitu
Mmmh kumbe kutoka na hawa watu ni kubemenda watoto..Wewe ni kiboko kabisa🙌
Umeanza kubemenda watt wa watu kabla hata hawajazaliwa😂😂
Sasa ww utamlaje mwanamke mwenye mimba ambayo sio yakoMmmh kumbe kutoka na hawa watu ni kubemenda watoto..
Naomba une unielekeze vzr ndgu yang nakuomba sana unielekeze hata kwa siri
Sijajua maana ya kubemenda maana. Ipo hvi kitaalam kulomba mama mjamzto mda wa mimba hii ni nzuri sana kwanza inaleta mahusiano mazri kati ya baba na mtoto..Sasa ww utamlaje mwanamke mwenye mimba ambayo sio yako
Si kubememba mtt uko,tena unambemenda kabla ata hajazaliwa
Kubemenda maan yake ni kumharibu mtt mara nyingi hutokea mtt akishakua kazaliwa alf mama akawa ana lala na wanaume tofauti tofaut ambao sio baba wa yule mtt hivyo hupelekea mtt kuharibaSijajua maana ya kubemenda maana. Ipo hvi kitaalam kulomba mama mjamzto mda wa mimba hii ni nzuri sana kwanza inaleta mahusiano mazri kati ya baba na mtoto..
Mi sio baba wake ila.mi nachokifanya kinaleta uhusiano maana kile.kiumbe hakijui kutofautisha kama huyu anayemuweka mama ake ni baba mzazi au ni jamaa tuu. Soo.katoto katakua kanainjoi kuona baba ake ajamtenga...
Au nielekeze kuna madhara gani
Mmmh sasa huyu mmama anasema.mme wake hampendi kwanza anamchukia mumewe hatari sijapata kuona..Kubemenda maan yake ni kumharibu mtt mara nyingi hutokea mtt akishakua kazaliwa alf mama akawa ana lala na wanaume tofauti tofaut ambao sio baba wa yule mtt hivyo hupelekea mtt kuhariba
Mama anapokua mjamzito hua anashauriwa kusex na mwanaume aliyempa ujauzito pekee
Uyo alikua anakupenda kabla ata hajashika iyo mimba,baada ya kupata iyo mimba ndo kaona atumie fulsa😂😂Mmmh sasa huyu mmama anasema.mme wake hampendi kwanza anamchukia mumewe hatari sijapata kuona..
Nikafatilia hili suala wakasema inatokea mara nyingi tuu mama mjamzito kutokua na hamu na mume wake.
Sasa hana hamu na mumewe ila anahamu na mimi... (Kijana mkamiaji)
Unazani mi nafanyaje hapo nikatae ili aumie au nimpe utamu kama nyuki... 😂😂😂😂😂😂😂
Nachokifanya ni kama kumsaidia tuu