Mambo ambayo Mwanaume hupaswi kuyategemea kutoka kwa Mwanamke

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,767
Habarini za Wakati huu Ndugu zangu wanajamvi letu pendwa. Ni siku nyingine tena na fursa nyingine ya kupambana iki kuhakikisha mkono unaenda kinywani. Katika jamii zetu ambazo zimedumu toka enzi na enzi zikihusiana na hata kuzaliana, kutegemeana kwa jinsia hizi mbili, Mwanaume na Mwanamke ni jambo ambalo limekuwepo na haliwezi kutoweshwa kiasi kwamba wanawake wakaishi pekee yao na wanaume wakaishi pekee yao kwani sisi sote tunategemeana.

Katika kutegemeana kwetu, kuna hayo mambo ambayo Mwanaume hupaswi kuyategemea kutoka kwa Mwanamke vinginevyo jiandae kuumizwa na kuharibiwa kiakili. Katika Utafiti wangu mdogo, nimekuja kugundua mabo yafuatayo wanaume hatupaswi kabisa kuyategemea kutoka kwa hawa viumbe wenzetu. Mambo hayo ni pamoja na;

1. Mwanaume usitegemee au kutamainia kupendwa na mwanamke.
Ukweli uko hivi, wanawake watu wa vitu, ukiwa na kitu anachokitaka atavutiwa nawewe. Lakini katika hayo mambo usijekuweka tegemeo kuwa atakupemda kama malipo ya ukarimu wako kwake. Kama kumpenda mpende tu ila kitu ambacho kukitegemea kama malipo ya ukarimu wako kwake anatakiwa awe mtiifu na mnyenyekevu kwako tofauti na hivyo ndugu yangu utatumika sana na kuumizwa sana.

2. Mwanaume usitegemee kabisa huruma ya mwanamke. As a man, expecting her clemency is like soaking your balls in hot water. Mwanaume jipambanie, acha kuuza hisia zako ukitegemea utapewa huruma. Kama atakuhurumia akuhurumie ila usiitegemee sana kutoka kwa Mwanamke. Just be a man by taking care of her and family, failure to do that your manliness is lost, you become a junk and cuck. We are providers, not the otherwise.

3. Mwanaume usitegemee wala kuhangaika kumuelewa mwanamke wako. Hawa viumbe wako complex sana, wana mahitaji elfu elfu so ukihangaika kuhakikisha unaelewa ni nini hasa anataka unapoteza muda wako. Kama ni demu wako au mchumba wako wewe hudumia na hakikisha unasimama kama mwanaume. Don't accept to be bent, she needs to bend to fit into your frame. Man up. Utakuta kuna mtu anahangaika kumsoma mkewe, mmh bro you're wasting your precious time for something helpless.

4. Mwanaume usitegemee msaada wake. Katika kitu mwanaume unaweza kujitia kwenye kitanzi cha msongo wa mawazo ni kuishi ukitegemea msaada wa mwanamke. These creatures believe that they are only gender entitled to provision and anything you know. No matter how well off your woman is, don't expect or depend on her money. Just leave a room for her to either give or withhold. Ndipo linapokuja suala la kuoa, usioe ukitegemea familia yako siku moja itapata msaada wa mke wako, usiweke matarajio ila ikitokea ameamua kufanya afanye ila sio kigezo cha wewe kuacha kuhudumia familia yako.

Kama haya mwanamke wako hakupi usilazimishe, huna haja ya kumzaba makofi. Achana kabisa na aina yoyote ya unyanyasaji, badala yake jikite katika kujiboresha na kuhakikisha unakua mtu bora kuliko anavyokujua. Tafuta hela, fanya mazoezi, kuwa na Nidhamu na pesa na wekeza.

Na kuna hvi vichache ambavyo ukiona mwanamke wako hakupi jiandae kuogelea kwenye karai la mafuta yanayotokota,

1. Mwanamke wako ni kwa namna yoyote anapaswa kuwa mtiifu kwako ni ama mna date au mmeoana. Katika kitu mwanaume anakitaka sana kutoka kwa jinsia hii ni Utiifu wake. She needs to be obedient and submissive tofauti na hapo umeoa mwana harakati soon atanunua dildo akuwekee kwenye mat*ko. Let her be emotional, as a man you need to be logical. Na usitoke kwenye huo mstari labda kama unataka kumsaidiwa kuhudumia.

2. Mwanamke anapaswa kukuheshimu. Pamoja na kwamba wewe ni mpenzi wake ila ni lazima akuheshimu no matter what, she needs to pay respects to you.

Mengine mtamalizia wenyewe.
#Tunzashahawazakohukondikoulipoufalmewako.
 
Sio nyoka hata ila utakavyojilegeza ndio utamgeuza kutoka mwanamke na kuwa joka. To be a man isn't easy, only few with matured minds can comprehend the message. Wanawake sii nyoka mazee, they are fragile as snake but aren't snake.
Kuna kitabu kinaitwa Understanding Woman Vol 10 kimeandikwa Title hakina content na ukurasa zote ni nyeupe na zipo ukurasa 252.
Ubongo wa mtu Ni pori juu ya pori hasa hao wanaofikiri na kuishi kwa hisia.
 
Habarini za Wakati huu Ndugu zangu wanajamvi letu pendwa. Ni siku nyingine tena na fursa nyingine ya kupambana iki kuhakikisha mkono unaenda kinywani. Katika jamii zetu ambazo zimedumu toka enzi na enzi zikihusiana na hata kuzaliana, kutegemeana kwa jinsia hizi mbili, Mwanaume na Mwanamke ni jambo ambalo limekuwepo na haliwezi kutoweshwa kiasi kwamb
Umeongea ukweli 100%
 
Back
Top Bottom