Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Kwanza kitendo cha kuwaachia nyinyi wanawake kumiliki uchumi...ni huduma tosha..maana ile senti unayopata wewe kwenye kazi yako ilitakiwa aipate mwanaume wako..ndipo akupe wewe....wewe ukasema na mm nataka nipewe changu mapema kwa kufanya kazi...sasa sent yako ushapewa..unataka tena wkt mwanaume wako keshapungukiwa...

Unatakiwa kile chako mkichange na cha mwenzako..mjue cha kufanya....

Yaani mmeweshwa lkn bado mnang'ang'ana kuhudumiwa?? Neno Hilo likae mbali kabisa na fikra zenu...litokee kama dharura tu...ngonjera hizi...ziimbeni..mfumo dume ukirudi tena.

Cku moja boom limeingia ananiomba akabsti nyonyo zake!!!!!
nilcho mfanyia cio kzr kutype kwa uma asee
:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]
 
Golikipa lazima alalamike, ubahili huletwa na wanawake si wanaume, wewe kuomba tu, hamia Dodoma.
 
Cku moja boom limeingia ananiomba akabsti nyonyo zake!!!!!
nilcho mfanyia cio kzr kutype kwa uma asee
:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]
Hebu fikiria..wote mnapata boom sawa..halafu anakupiga vibom..hv wewe umpende huyo au una matatizo.
Mwanamke wa kupendwa na wakudumu naye..mnapeana tafu...especially kama vipato vyenu vinaendana...tunawapa elimu hii muache kulalamika kwamba mmechezewa halafu mmeachwa...na kusema wanaume wabaya...nakubali kuna wanae wasiofaa hata awatendee vp,,,mm nazungumzia mwanaume ambaye umeona anakufaa kuwa mme wako..usimfanyie hivyo.
 
kwani huwezi kuendelea naye ukiwa unafight kimaisha.??? Lazima uachane nacho ndio ufight..??? Halafu usidharau uumbaji wa Mungu..wewe ukiumbiwa ukiumbe utaweza.

Mungu hajaumba mariòooo. Mungu aliumba mwanamume kichwa cha nyumba, mtawala wa vviumbe vyote...mwanamke awe chini ya mwanamume. Inaelekea huelewi linalozungumziwa hapa. Soma vizuri usijurupuke. Mungu hakumuumba mwanamume asiyejali ya nyumbani kwake. Mwananume kama huyo ni mzigo..mhakuna haja ya kumbeba.
 
Mungu hajaumba mariòooo. Mungu aliumba mwanamume kichwa cha nyumba, mtawala wa vviumbe vyote...mwanamke awe chini ya mwanamume. Inaelekea huelewi linalozungumziwa hapa. Soma vizuri usijurupuke. Mungu hakumuumba mwanamume asiyejali ya nyumbani kwake. Mwananume kama huyo ni mzigo..mhakuna haja ya kumbeba.
Sawa
 
Mie sipendi mwanamke anayeninyyima uchi sasa kama ananinyima si tuachane tu. kwanza k yenyewe ime deformed tepetepe, nyonyo yenyewe ata ile chuchu ya kufinya imezama ndani akhaaaa damn it

samahani naona nimepita kusiko
 
Wanawake hawafanani tabia lakini wapo wanaowaharibu wenzao mfano leo nimepita sehem nikakuta wanawake wanamsema bint mmoja aliyejinyonga kisa wivu wa mapenzi,dada mmoja akawa anamwambia mwenzie " Hayo ndio matatizo ya kutegemea mwanamme mmoja"akaendelea kusema,sina ujinga wa kukaa na mwanamme mmoja tena akipanda mlima round moja harudii tena.Nitaendelea kupigwa bomba za nje Mr akinikera nisiwaze navile wa nje wanapiga kama wanalima ndio napenda na tena hadi nakosa muda wa kutazama kuta za chumba cha guest . KWA HILI WANAWAKE WENGI HAWAJITUMI KUTAFUTA PESA NA KUSAIDIA MAJUKUMU ILA KAZI YAO KUSUBIRI MWANAUME AFANYE NINI NA BADO WANAENDEKEZA MATUMIZI KULIKO KIPATO.UNAPOONA KUWA CHINI YA MWANAUME NI SHIDA BASI KAA BILA MWANAUME AU USIMTEGEMEE MWANAUME KILA KITU PIA USIWE MTUMWA WA PESA NA STAREHE ZISIZO NA MIPAKA
 
Na mwisho wa hii thread wanawake wanaochukia wanaume wabahili watashinda.
 
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Kushangaa huko ujiulize n kwann anakosa concentration kwako na ujiongeze

Lazima uwe na udhaifu
 
pesa omba ila unazifanyia nini ndio shida?? Mtu anaomba hela akaongeze makalio au NIDO??? si maajabu haya. Mwingine akaweke makope yale ya makatani hadi anakuwa ananitisha, sasa natoa hela ya nini hapo??/
N kweli unakuta mwanamke kajitwisha mzigo wa katan had u ajiuliza analala vipi, bahat mbaya ana mwili/umbo dogo basi unaogopa hata kumgusa huenda akakosa balance na kuanguka kwa uzito aliobeba

Ts boring sio urembo tena
 
mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Pole yako ndugu, ila pia ujue ukifika mda utawatafuta na utakua nnje ya mda

Nakushauri uwe tu makini usijiue maana type yako huwa wanakua wameathirika kisaokolojia(psychological)
 
me nina pepo la kupendwa na wanawake bila hata pesa nakula niombeeni wadau nisije kufa na ukwimi
 
Back
Top Bottom