Waambie, hatupendagi ujinga, sispesa omba ila unazifanyia nini ndio shida?? Mtu anaomba hela akaongeze makalio au NIDO??? si maajabu haya. Mwingine akaweke makope yale ya makatani hadi anakuwa ananitisha, sasa natoa hela ya nini hapo??/
mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Mhhhh kuna mwanaume/binadamu asiyekuwa na hata kimoja hapo kweli??1. Mchoyo
2. Mwenye ghubu
3. Mwenye dharau
4. Much know na asiyeshaurika
5. Ngumi mkononi
6. Control freak
7. Asiyejiamini
8. Malaya na mzinzi>>> chovyachovya
10. Mbahili
11. Msema hovyo
12. Asokuwa na staha
13. Misifa.com
14. Mvivu
15. Mchafu
16. Mario
17. Kutokuwa mtafutaji
18. Kutokuwa na msimamo wa maisha.....ikiwemo asojua nini anataka
19. Asojitambua
Nitarudi na mengine
Muanze kuchangia pesa za mahari na majukumu yote wanayowafanya wanaume yawe yenu4.6 billion kwa 2.6 billion alafu bado mnaleta nyodo za multiple choice hapa",.. haya subiri Maombi hospitalini tyu",..
ni kizazi cha 50-50

teh teh teh!!Ahaaaaa nikajua unang'oa wakali
Kumbe unang'oa wakale ...
haya usije ng'oa hadi wazee mkuu
Wanawake mnatakiwa kutafuta piaNachukia sana mwanaume bahili, kila siku yeye aeleza shida zake tu! Wanaume tafuteni
Mungu wangu itakuwa ngumu endapo utanipiga kibao eti nisitizame watu wanaopita kando yangu ni haki kumuangalia mtu ila sio uangaliaji wa tamaa na kuonesha umevutiwa, kwa kweli mm nisingekubali hilo suala kama huyo mwanaume wako alikubali baada ya kukaa kimya basi ni mpuuzi,Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Tunatafuta sana ndo maana hatutak wanaume wapenda dezooWanawake mnatakiwa kutafuta pia
Sasa mkishapata msiwage mnapiga mizinga wkt mnazo au sio???Tunatafuta sana ndo maana hatutak wanaume wapenda dezoo
Mazingira ya kupigwa mizinga mnayatengeneza wenyewe,wacha mchunweeeSasa mkishapata msiwage mnapiga mizinga wkt mnazo au sio???
Kwa hiyo wanawake hawana tabia ya kurusha mizinga..isipokuwa mwanaume mwenyewe ndio amesababisha??Mazingira ya kupigwa mizinga mnayatengeneza wenyewe,wacha mchunweee