Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Wanawake hii miaka mitano mtanyooka tu hatuhongi hela nyingi tena,,,,
 
Mtaishia kusema huku tu, ila mkifika kitandani ukipigwa mkao wa choo cha shimo chaliiiii, nyieeee ongeeeni tu[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umeuwaaa,ati mkao wa choo cha shimo hahahaaaa yaani mpaka mlio wa tumbwiiiiii unasikika kwa jirani.
 
Wanaume wa JF wabinafsi sana inabid nawao wajue kua hawapo kamili hata wao wanatukera pia
Hatuna ubinafsi bhana,tatizo lenu tukianza kuwatongoza mnaleta sinema za kihindi ati nyimbo na maua na tararira kibao,ya nini yote hayo?,leteni mizigo tupige tufurahie maisha,baadaye ndio mlete nyimbo za kihindi na mahabuba zenu,hapo mtaeleweka na tutawatunza kwa mavituz ya bei mbaya au vipi?,lakini mmekalia kubania magoma moto huku mkiendeleza nyimbo,achia mzigo uone unavyopendwa.
 
Back
Top Bottom