D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,160
- 3,259
hapana nilikuwa nataka kurekebisha kwa polisi badala ya private ni constable ambaye ni sawa na ts kwa jeshiNini kwan?
hapana nilikuwa nataka kurekebisha kwa polisi badala ya private ni constable ambaye ni sawa na ts kwa jeshiNini kwan?
Hongera kwa marekebisho Police kuna PC na WPPolice ni constable.pte ni jwtz
ts anakuwa hajapiga lv-3 akipiga lv-3 akapata na barret ndo anakuwa private kamili kuhusu upande wa polisi huko cjui sanaMmh ts? Kwani ts maanaake nn.constable ni sawa na private.
hapana service man na ts ni watu tofauti serviceman ni kijana aliyehitimu kozi ya Jkt na anasubiri ajira ila ts ni yule ameshapiga kozi ya ajira(RTS) na ameshaajiriwa ila hajapiga kozi daraja la tatu(lv-3) ili awe private kamiliPasi na shaka unazungumzia service man
Ahsante kwa elimu yako mkuu na lv3 ni muda gan?hapana service man na ts ni watu tofauti serviceman ni kijana aliyehitimu kozi ya Jkt na anasubiri ajira ila ts ni yule ameshapiga kozi ya ajira(RTS) na ameshaajiriwa ila hajapiga kozi daraja la tatu(lv-3) ili awe private kamili
miezi mitatuAhsante kwa elimu yako mkuu na lv3 ni muda gan?
sioMeans level three au sio!
Acha unaa wee ni askariAhsante,viref vyak!