Haya ndio Majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani kote

Haya ndio Majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani kote

hapana nilikuwa nataka kurekebisha kwa polisi badala ya private ni constable ambaye ni sawa na ts kwa jeshi
Mmh ts? Kwani ts maanaake nn.constable ni sawa na private.
 
Mimi si mbobezi wa masuala haya ila najua uhamiaji ni jeshi lililo full trained kwa kila kitu mpaka matumizi ya silaha zote ila mafunzo yakiisha hugawanywa kutegemea interest ya mtu au mwajiri.
 
Mimi si mbobezi wa masuala haya ila najua uhamiaji ni jeshi lililo full trained kwa kila kitu mpaka matumizi ya silaha zote ila mafunzo yakiisha hugawanywa kutegemea interest ya mtu au mwajiri.
Ok.vema
 
Mimi sikujua kama police nako kuna private(PTE),zimamoto nako kuna private haya mambo mnayosimuliwa muwe mnayahakikisha siyo kudanganyana hivi
 
ts anakuwa hajapiga lv-3 akipiga lv-3 akapata na barret ndo anakuwa private kamili kuhusu upande wa polisi huko cjui sana
Pasi na shaka unazungumzia service man
 
Pasi na shaka unazungumzia service man
hapana service man na ts ni watu tofauti serviceman ni kijana aliyehitimu kozi ya Jkt na anasubiri ajira ila ts ni yule ameshapiga kozi ya ajira(RTS) na ameshaajiriwa ila hajapiga kozi daraja la tatu(lv-3) ili awe private kamili
 
Ahsante kwa elimu yako mkuu na lv3 ni muda gan?
 
Dogo amejitahidi kuelezea upande wake,mwingine mwenye upeo mkubwa,amwage data hapa,
Mi Nina swali wakuu,wale wanaomlinda rahisi,ni askari wa kawaida tu,waliohamishwa vitengo wakapewa mafunzo maalum,ni jwatz,ni makomandoo,ni jkt,
Au kuna sehemu maalum wanapelekwa kujifunza.
Unapojibu hili,tilia maanani,wale usalama wa taiga,walioenda kumkamata mfanyabiashara wa msoma,Zakaria,wakaishia kutwangwa risasi,kama hawa jamaa wana mafunzo maalum,ilikuwaje watu saba wakazidiwa na MTU tena RAIA mmoja.

Miaka kadhaa nirikuwa kwenye mishe kahama,nikaibiwa tairi ya gari,nikaripoti ofisi ya mtaa,nikapewa vijana ambaye amepitia jkt,wakati huo ameajiriwa kama sungusungu,akaniambia nimuelezee tairi yangu inafananaje,
Akaniambia kama imeuzwa kahama stendi,ataiona tu,akaenda kituo cha mabasi madogo,akakagua kila hiace inayoingia,SAA tatu baadae,tairi ikapatikana,
Sasa Kama JKT anauwezo huo,niambieni uwezo wa hawa wa usalama wa taifa
 
Back
Top Bottom