Haya ndio Majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani kote

Haya ndio Majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani kote

[JKT sio jeshi ]....kwanini linaitwa jeshi la kujenga taifa?.
 
Write your reply...
Haya mambo bwana hayahitaji ujuaji mwingi, kaa utulie tuu. Ama umetumwa kutukagua tutakao changia? hauko seriously kwa haya
Huo ni mtazamo wako.ahsante kwa kushiriki
 
Kumbuka kuwa hata katiba ikibadilisha majukumu ya vyombo hivi bado itaitaji kubadilisha pia mitaala ya mafunzo ya vyombo hivi, jukumu la jwtz ni pana zaidi kuliko jukumu la polisi na magereza. Unqposema ulinzi wa mipaka jua kuwa unqzungumzia mipaka ya ardhini, angani na majini, hiyo yote inahitaji zana na mafunzo ivyo huwezi kubadilisha ghafla tuu bila ya kuwa na long time strategy
Kulingana na welewa wako.kumbuka hata raisi wa nchi yyt anaweza akabadili system ya utawala akawa dictator
 
Mimi ninavyo jua magereza sio force yaan halina vigezo vya jeshi ingawa huita jeshi lakin jina halisi la magereza ni Tps(Tanzania people service) ukienda magereza yote utakuta yameandikwa ivi lakin polis ni Force yaan PT(police force) ukienda JWTZ utakuta TPDF yaan(Tanzania People Defense Force) kwaiyo polisi na jw wote ni force but Magereza ni service
Santa.
Upo right but sio TANZANIA PEOPLE service ni TANZANIA PRISON Service(TPS).
 
Kawadangani watoto wenzako jeshi ili liitwe jeshi lazima liwe na kamandi (battalions )
Police ni idara tu jaribu kuficha ujinga wako mkuu
Acha mbwembwe bwana mdogo hizo batallion sjui kampani ni mbwembwe tuuu
 
Ingia gugo jaribu kutafuta 'world police forces' alafu rudi hapa uje ubadili huu uzwa uzwa ulio andika,tatizo umeaminishwa mkuu km mnavyo danganyana huko Kambini jeshini. Polisi ina kikosi cha maji,anga na askari wa miguu(doria)

-Askari maji kazi yao ni kupiga doria ktk maeneo yenye maji(maziwa&bahari) zilizo ndani ya mipaka ya nchi.

-Askari wa kikosi cha anga hawa wana fanya patrol ya anga ndani ya nchi.ila kwa Tz hii haifanyiki sana kwasabu ya ukosefu wa vitendea kazi(helicopters).

Mi sio polisi ila nmejaribu tu kukuelimisha wewe mwanajeshi wa std 7 usie jua majeshi yanayo tambulika na katiba ya nchi ya Tz.[emoji23][emoji23] alafu ww ni mjeshi kilaza hivi utaweza kweli kutekeleza jukumu lako la kuilinda katiba maana hata content ya katiba huijui.

Nyongeza;Nigeria,Uganda,Singapore,Somalia &Tz hizo ni baadhi tu ya nchi ambazo polisi yao ni force,ingia Google ujiridhishe na uone nchi nyingine ambazo zinatumia 'Police force'
Safi sana mkuu kwa kuongezea polisi wa majini wanaitwa (marine police) au wanamaji au marine unit.hawa wa jkt wamekaririshwa kubisha hata visivyobishika
 
[JKT sio jeshi ]....kwanini linaitwa jeshi la kujenga taifa?.
Hiyo ni slogan tuu bwana mdogo ili kutoa hamasa kwa vijana wajione na wao wamo.jkt ni kamandi tuu nadhani askari hapa wananielewa vizuri.kijana wa jkt huwezi kumpeleka vitani kwaaababu baado sana kwenye level ya millitary tactics.
 
Safi sana mkuu kwa kuongezea polisi wa majini wanaitwa (marine police) au wanamaji au marine unit.hawa wa jkt wamekaririshwa kubisha hata visivyobishika
Pamoja sana mkuu sisi ndio magreat thinkers tunawa elimisha hawa vichwa maji
 
Back
Top Bottom