Mkuu nilikuwa Na maana wanggenda ASKARI. wenye siha Na fit!Una maanishaje hapo mkuu
Mhi!! Hastahili hata hongera......Umejing'atang'ata ila kiasi fulani umejitahidi na kwa asiyeelewa haya mambo ataona umedadavua kweli kweli kumbe blaah blaah nyingi anyway hongera sio mbaya sana
😂😂😂😂😂Achana na haya mambo mkuu ! Tafuta story za mapenzi kapost MMU ,
Huyo ni mweupe kwenye eneo hili....Dogo G nikukosoe kwa mara ya kwanza, JKT ni kamandi ya JWTZ inayoshughulikia huduma za kitaifa shughuli za kijamii, ukufunzi wa wanafunzi wa kijeshi.
Unaposema askari wa JKT hawana mafunzo kwa kutolea mfano unakosea sana, inaonekana bado hujui kuhusu jeshi vilivyo. Maafisa wa jeshi hilo kabla ya kupokea ajira hupitia mafunzo ya awali miezi sita na pia ya chuo cha uofisa kama ilivyo majeshi mengine yote. Usiwadhalilishe.
Pia usichanganye kuruti na maservicemen(ambao huvaa nguo za kijani zenye alama za karanga) na maaskari waajiriwa wa JKT.
Service men(wenye gwanda kama mgambo) wamemaliza mafunzo na wapo pale kusubiri post za kwenda kozi za uofisa, wale si waajiriwa wa JKT hata mshahara hawana zaidi ya kuwa na posho kwa shughuli zao kambini.
Kumbuka kuwa hata katiba ikibadilisha majukumu ya vyombo hivi bado itaitaji kubadilisha pia mitaala ya mafunzo ya vyombo hivi, jukumu la jwtz ni pana zaidi kuliko jukumu la polisi na magereza. Unqposema ulinzi wa mipaka jua kuwa unqzungumzia mipaka ya ardhini, angani na majini, hiyo yote inahitaji zana na mafunzo ivyo huwezi kubadilisha ghafla tuu bila ya kuwa na long time strategyNimetolea mfano kuonesha kuwa katiba ndiyo huamua kila kitu
OkDogo G nikukosoe kwa mara ya kwanza, JKT ni kamandi ya JWTZ inayoshughulikia huduma za kitaifa shughuli za kijamii, ukufunzi wa wanafunzi wa kijeshi.
Unaposema askari wa JKT hawana mafunzo kwa kutolea mfano unakosea sana, inaonekana bado hujui kuhusu jeshi vilivyo. Maafisa wa jeshi hilo kabla ya kupokea ajira hupitia mafunzo ya awali miezi sita na pia ya chuo cha uofisa kama ilivyo majeshi mengine yote. Usiwadhalilishe.
Pia usichanganye kuruti na maservicemen(ambao huvaa nguo za kijani zenye alama za karanga) na maaskari waajiriwa wa JKT.
Service men(wenye gwanda kama mgambo) wamemaliza mafunzo na wapo pale kusubiri post za kwenda kozi za uofisa, wale si waajiriwa wa JKT hata mshahara hawana zaidi ya kuwa na posho kwa shughuli zao kambini.
Upo mkuujuzi hapa ulileta habari ya kujiua kwa private wa 514 makambako,hivi unajua ni kiasi gani ulileta taharuki kwa uongozi wa hiyo kambi. acha kujifanya mjuaji katika masuala ya kijeshi utapotezwa. wewe sio msemaji wa jeshi na wala sio mwandishi wa habari. waachie wenye majukumu yao watoe taarifa rasmi umaarufu wa mitandaoni hautakusaidia.
Ingia gugo jaribu kutafuta 'world police forces' alafu rudi hapa uje ubadili huu uzwa uzwa ulio andika,tatizo umeaminishwa mkuu km mnavyo danganyana huko Kambini jeshini. Polisi ina kikosi cha maji,anga na askari wa miguu(doria)Kawadangani watoto wenzako jeshi ili liitwe jeshi lazima liwe na kamandi (battalions )
Police ni idara tu jaribu kuficha ujinga wako mkuu