Huo mzunguko wa pesa unaousema wewe unawanufaisha wengine, wewe na take home yako ya 400k kwa hapa dar utaishi maisha ya kibinadamu?
usafiri watoto, kodi, maji, umeme, wewe una mshahara fixed 400k hivi unadhani utafanya lolote la maana!
Mkuu acha kisema in general, watu wanaishi maisha ya chumba kimoja dar, kuoa ni waoga, hata walioa chumba kimoja watoto wanalala hadi kwa majilani, mkuu kwani unaishi dar ipi wewe?
Unasema dar kunasehemu ya 10k kwa mwez?
Wapi huko
Hicho sio chumba ni store am sure